Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Uwezo wako pwilo wa kufikiri ni mdogo. Unauhakika gani kwamba hao walioporosha matusi ni team di.?

Em onyesha kukomaa akili. Mvulana kuwa shankupeshankupe haipendezi.
 
Last edited by a moderator:
Uwezo wako pwilo wa kufikiri ni mdogo. Unauhakika gani kwamba hao walioporosha matusi ni team di.?

Em onyesha kukomaa akili. Mvulana kuwa shankupeshankupe haipendezi.

Wanaweza wakawa team gani vilee?
Wanaotukana kila star anasempost Kiba au anayetoa compliment ya video.
Ni laana aisee.
 
Last edited by a moderator:
cut b @ms. lincoln umemuona data ananitafuta ananiita mi shankupe very sad
 
Last edited by a moderator:
duh mi shankupe sasa yeye aliyekuja kwenye thread ambayo sio yake na mimi nani shankupe et cut b Ms.Lincoln
 
Last edited by a moderator:
cut b @ms. lincoln umemuona data ananitafuta ananiita mi shankupe very sad
Naomba usilijibu ilo li mbululazz mimi mwenyew kuna mahali lime ni quote nikalipotezea kama vile silioni.
Jibu la mjinga ni kukaa kimya mimi ata ani quote silijibu. data usijisumbue unapoteza muda wako bure kuni quote kwani nani asiyejua wew ni kilaza? Nani asiyejua wew ni shankupe?? Mnafiki kabisa.
Nilishasema sitamquote team domo yoyote.
 
unazidi kudhihirisha uwezo wako mdogo wa kuwaza na kufikiri. unapojnyima hki ya ku quote maana yake hujiamini na huna uwezo wa kutetea hoja zako. kifupi unaoneka una elimu ndogo.
 
Naomba usilijibu ilo li mbululazz mimi mwenyew kuna mahali lime ni quote nikalipotezea kama vile silioni.
Jibu la mjinga ni kukaa kimya mimi ata ani quote silijibu. data usijisumbue unapoteza muda wako bure kuni quote kwani nani asiyejua wew ni kilaza? Nani asiyejua wew ni shankupe?? Mnafiki kabisa.
Nilishasema sitamquote team domo yoyote.

mi sina habari naye umemuona king yupo na watu wanaojielewa na anapiga ibada mpaka studio KING KIBAAAA
 
Attachments

  • 1435831850842.jpg
    1435831850842.jpg
    57 KB · Views: 90
  • 1435831874325.jpg
    1435831874325.jpg
    27.1 KB · Views: 88
  • 1435831888021.jpg
    1435831888021.jpg
    38.2 KB · Views: 86
Last edited by a moderator:
Hahah wale mtv co ktma wale madam ubaya hana bwana kule.

hawa watu hawana hata aibu mbona BUMBUM mbona hatujawahi kuiponda hata siku moja ila wao matusi kila kitu yani ila king kimyaaa
 
Huyo mpuuzi wala asitake kuniletea zake zipi......kama anajiona amepinda basi ajue tupo tulionyongolota kabisa!

yeye wana uzi wao nashangaa ananiqot ila mi nimempotezea sasa anabisha hatukani halafu ananiita mi shankupe dah not fair ila mpotezee
 
Video ya cheketua tayari imeshachuja daah noma sna

2days views 176K OMG !!
 
Wewe ni tutusa siku hizi video watu wanatumiana wasapu, wewe endelea kukariri tu. Niende youtube kufuata nini wakati video natumiwa wasapu?

Hivi nyinyi shule mlikwenda kusomea ujinga.

kwa hiyo viewers wote wale wa video za diamond u tube hawana whatsapp? au viewers 2M wa video ya Mwana nao hawana whatsapp?

we ngedele kweli tena achana na mimi usipende kuni quote tapeli wewe.

yahaya!
 
Back
Top Bottom