Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Hahahahah trust me crone bi.ch am gonna be your worst nightmare today ....hahahahh stay tuned Hahahaha .

Note: ( haya maneno "uwii na ndorobo) yananifanya nipate picha we type gani hahahhahha too shallow , too primitive, hahahahh hata kama no misimu but inawatu wa kariba ya kishambashamba kama wewe hhahha

Let's meet ndotoni hahahah

#JFsiyaBABako

Mkuu mbona unacheka sana? Kila baada ya neno moja hahahaaaa sijui nini..hhahahaaaa.
Nini shida?
 
Kumbe na wewe umo kwenye list!!! We ulimbania kwa nani? Basi huyu binti si bure ana matatizo makubwa aisee, na sehemu anazofanyiaga biashara zake anazitaje kabisaaa sijui ili wamfuate huko!! Nami nimeingia kwenye list leo, mbona atawamaliza kiba fans, cute b hebu ongea na huyo shost yako, mwambie hakuna mnunuzi humu, anatuchukia wanawake wenzie kisa nini!!

Nitaongea nae nitaongea naee...
Lol kuwen na huruma bhana sio kwa vichambo ivyo
 
Last edited by a moderator:
L

Zaidi ya kuvurugwa list ya ansowachukia wa kwanza ni nifah wa pili ni Mimi Diva hahaaa yani yeye kuchukia tu watu wasiopenda akiaminicho.
Siku hyo kafunga hata yule mwenye manywele nywele namchukia hahaaaa akawa anaomba mwezi mtukufu usiishe sasa huko si kutokujiamini.
Wanaume weeeeengine buaaaaana loh
Hahaaaa kumbe alikua ana mendea baada ya kukosa ndo ana ma stress na hasira Matola hebu njoo utoe letamkoz utamfanya mtu akatishe uhai wake kabla ya siku.

Hahahahahah so sad
 
Last edited by a moderator:
Eti mtu anajitetea na joining date wakati boguz kabisaaa, anadhani joining date ndio kitu gani?? Mie nilikuwa nawaheshimu watu waliojiunga jf muda mrefu maana wanajitambua, kumbe na mamluki wamo aisee!!

Hahahahahhh truth hurts
 
Na ujiandae kuongezwa kwenye list ya wanaochukiwa maana yule mazigazi ya chini anawashwa hatariii!

Hahahahahahah japo sijadili na wewe but naona kama komenti zangu humu zimeleta side effects kwenye ubongo wako na wewe pia hahahahah so sad.
 
Poa basi nenda kwenye uzi mwingine basi na sisi tujadili mambo ya kifamilia...

Haya mkuu kwa heshima yako kwa siku ya Leo Hi ndio post yangu mwisho humu

Nakutakia siku njema yenye baraka.

Amani iwe nanyi nyote .
 
Back
Top Bottom