Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Uthinithingidhie bwana, utukutu wangu nini sasa?

kwa nn tumesema hatuwajibu team domo ww ukavunja sheria ukajibizana na mazigazi haya jiteteee nakutafuta toka asubuhi halafu wao wanajua matus baaasi #tusiwajibu teamdomo
 
Uthinithingidhie bwana, utukutu wangu nini sasa?

sasa unabishana na mashabiki ambao wanawatukuza mburulaz kama huyu angalia alivyoandika insta
 
Attachments

  • 1435857861600.jpg
    1435857861600.jpg
    28.4 KB · Views: 80
sasa unabishana na mashabiki ambao wanawatukuza mburulaz kama huyu angalia alivyoandika insta

Mweeeeeh!!! Kwani kaacha ile tabia!!
Usijali sitobishana na viazi tenaaaa!!! Am sory kwa kukukwaza!
 
Mweeeeeh!!! Kwani kaacha ile tabia!!
Usijali sitobishana na viazi tenaaaa!!! Am sory kwa kukukwaza!

haahaaa mazigazi anatukana kama ana laana huyo hawezi kuacha hiyo ndo kazi inayomuingizia kipato au anakazi gani nyingine
 
Hapana buaaaaana sio kabisa nilikua nanyoosha mu stari mana ulipinda. Ili kuweka clear mazoea yakizidi ni hatari.

tatizo wao hawajui kutetea zaidi yamatusi et wameanzisha thread ya kwa nn kiba hamfollow mtu insta na ww nikakuona unagawa dozi Diva Beyonce sasa tulia kambini usitoroke tena
 
Last edited by a moderator:
Hapana buaaaaana sio kabisa nilikua nanyoosha mu stari mana ulipinda. Ili kuweka clear mazoea yakizidi ni hatari.

Kuna muda yanataka kutupanda kichwani ati, so tunayaweka sawa, alafu mimi ndio wanikomeeee tena kunishobokea, kama mtu ana shida aje amalize sio kunichokonoa privately, nyambaaafuuuu.
 
haahaaa mazigazi anatukana kama ana laana huyo hawezi kuacha hiyo ndo kazi inayomuingizia kipato au anakazi gani nyingine

Atoe wapi kazi!! Kumbe ni kawaida yake!! Binti ana shobo za kishamba yule sijapata kuona!!

Hayaaaa chekecha cheketuaaaaaa
 
Kuna muda yanataka kutupanda kichwani ati, so tunayaweka sawa, alafu mimi ndio wanikomeeee tena kunishobokea, kama mtu ana shida aje amalize sio kunichokonoa privately, nyambaaafuuuu.

Tabia ya kupandana kichwani kisoro soro haivumiliki kabisa ka pichu kuzoea ...... Inapobidi lazma niseme sio jitu from nowhere linaniparamiaa tyuuuu.
Huyo jamaa ndo zake kuparamia hukua hata nakosa mwayego.
 
Atoe wapi kazi!! Kumbe ni kawaida yake!! Binti ana shobo za kishamba yule sijapata kuona!!

Hayaaaa chekecha cheketuaaaaaa

dah kama huyu ni gay nina wasiwasi na mdogo wake anavyojibenua vilee kwenye video zake
 
tatizo wao hawajui kutetea zaidi yamatusi et wameanzisha thread ya kwa nn kiba hamfollow mtu insta na ww nikakuona unagawa dozi Diva Beyonce sasa tulia kambini usitoroke tena

Sawa mkuu nimekuelewa vzuri you know in lekibokozi voice. Sasa hyo mada sikuona mantiki yake. Sema hata hili jukwaa watu hawafikirii mbali aaaaaargh ushabiki hadi ka vta yani.
Nimekusoma mazeeee.
 
Last edited by a moderator:
Masikini mapovu yanawatoka. Jengeni hoja vilaza siyo kupiga kelele zisizo na mashiko. Watu wanakuza vipaji yeye anazaa tu, awajengee basi hao watoto wasijehangaika. Fedha zote anamhonga makombo ya msafi.
 
Teh teh teh King zaa as long as you can tena wanao wazuri balaa. Usio ka wale wanaoshikwa masikio na kua baba walezi huku mayai yote wakilia chips.
Hahaaaa haloo ya baba mlezi a.k.a mshika pembe
 
Back
Top Bottom