Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

kwa hiyo viewers wote wale wa video za diamond u tube hawana whatsapp? au viewers 2M wa video ya Mwana nao hawana whatsapp?

we ngedele kweli tena achana na mimi usipende kuni quote tapeli wewe.

yahaya!

Ngedele mama yako aliyezaa toto jinga kama wewe, sasa habari za mashabiki wa Diamond unaniuliza mimi wananihusu nini?

Mimi nikipata video wasapu niende youtube kufuata nini? Au wanagawa pesa kule? Fanculo.
 
Genius reply

Mkuu unakula kiroba cha ngapi saizi.?
Ngedele mama yako aliyezaa toto jinga kama wewe, sasa habari za mashabiki wa Diamond unaniuliza mimi wananihusu nini?

Mimi nikipata video wasapu niende youtube kufuata nini? Au wanagawa pesa kule? Fanculo.
 
kwa hiyo viewers wote wale wa video za diamond u tube hawana whatsapp? au viewers 2M wa video ya Mwana nao hawana whatsapp?

we ngedele kweli tena achana na mimi usipende kuni quote tapeli wewe.

yahaya!

Ya chai jaba peleka kwenye uzi wake huko. Hata ngedere hujui kuandika haya si majanga
 
ndio anajiita monalisa tz " aiseee nimeona huruma sana ndo mana nachukia mtu akijibizana na team domo wamemtukana dada wa watu kwa hiyo post ya king ila atoto jana kaniudhi sana

pwilo nilikuudhi nini tena jamani? Hebu niambie nikuombe msamaha, sipendi uchukie ujue!!
 
Last edited by a moderator:
Yaani hiki kideo cha mwaka no pingamizi asee.. wenye chuki na kingkiba watajinyonga kwa bigijiiii mwaka huuu..?

Na wakufwe tu kwakweli, yaani haichoshi kutazama, daaaah this is awesome, yaani ndio naiangalia hapa najisikia rahaaa.

Watu waache chuki jamani hii video ni bora sanaaaa

#videooftheyearvibes
 
Ngedele mama yako aliyezaa toto jinga kama wewe, sasa habari za mashabiki wa Diamond unaniuliza mimi wananihusu nini?

Mimi nikipata video wasapu niende youtube kufuata nini? Au wanagawa pesa kule? Fanculo.

Bila kumsahau mama yako mzazi na baba yako na baba zko wa kambo pia,wewe,dada zako,kaka zako pia,shangazi zako na wajomba zako,mama zako wadogo na wakubwa,baba zako wadogo na wakubwa wote.bibi yako na babu yako and their parents too,mkeo,na mwanao samira too,na wakwe zako ulio watapeli pia.
 
Haya mambo yenu binafsi hayatuhusu pelekeni pm huko. Simunsjiona bigwa wa kuzalilishana nendeni huko. Tena unatuharibia Uzi utashanga hii coment haifutwi zinafutwa nyingine zenye maana.
 
Bila kumsahau mama yako mzazi na baba yako na baba zko wa kambo pia,wewe,dada zako,kaka zako pia,shangazi zako na wajomba zako,mama zako wadogo na wakubwa,baba zako wadogo na wakubwa wote.bibi yako na babu yako and their parents too,mkeo,na mwanao samira too,na wakwe zako ulio watapeli pia.

hivi Maxence Melo comment hii inaruhusiwa? Hao moderators wako nina mashaka nao
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom