Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

YANI WEWE NA Matola mnaandika sana but making very little or NO POINT AT ALL.
Nianze kwa kumuomba Mungu haya maelezo nitakayokupa yasisababishe tukakwazana katika wakati huu wa saumu, coz saumu ni muhimu kuliko yote haya.
Kwa kuwa maelezo yako ni kama yameonesha kuwa unahitaji msaada wa uelewa toka kwetu, basi itakuwa ni aibu kubwa kwa Family kukuacha uondoke bila kukusaidia.
Umeonesha una tatizo la uelewa wa Sanaa ya video za muziki na ina kazi gani kwa jamii. Na pengine maoni yako yamefuata mkumbo au kusukumwa na chuki binafsi.
Na bado umeonesha kutokuwa na ufahamu kuhusu fashion.

Twende Sasa.
Kisa cha video ya Chekecha Cheketua kinaeleza kuwa Kiba ni mgeni kabisa katika mji ule, ndio maana ulioneshwa akiwasili huku akiwa amevunja amri ya ukimya kwa kusikiliza muziki wa Mwana.
Kwanini alivaa suit? Katika kisa cha video hii Kiba ni mgeni mwenye hadhi (daraja) ya juu na ndio maana ulioneshwa alikuwa ameketi kwenye kiti cha nyuma huku akiendeshwa, hivyo muongozaji akamuamuru kuvaa suit ili kuikamilisha hadhi yake.
Unaweza kuona kwa Rais wako hukaa kiti kipi anapokuwa kwenye gari na huvalia vazi gani hata anapokwenda kwenye nchi ya King Mswati ambako wana sheria kale kwamba mabinti bikira wa nchi nzima ni wachumba wa mfalme.
Hivyo Kiba alikuwa huru kwa mavazi bila kuathiri fasihi na kuendelea kuuvaa uhusika wake.

Kuhusu Fashion
Kwa kifupi suit sio vazi la kisasa, coz limeanza kuvaliwa tangu mwishoni mwa karne ya kumi na nane, hivyo mwanzoni tu mwa karne ya kumi na tisa vazi hilo likaanza kusambaa katika nchi tofauti.
Historia inasema vazi hili lilianzia UK, lakini kuna utata kidogo kutokana na jina lake kutoholewa katika lugha ya Kifaransa (suite - following).
Hata blue jeans sio vazi la kisasa kabisa, kwani lilianza tangu kwenye miaka ya 1800 huko na ndio maana Levi's ina miaka 162 tangu kuanzishwa kwake, Lee ina miaka 126 tangu kuanzishwa kwake.
Na kuhusu hizo kofia za mzunguko ndio kitu cha kale zaidi kwani kilianza kuvaliwa kabla ya kuzaliwa Kristo, ila zikaboreshwa zaidi kwenye karne ya 18 na 19.

Hasidi hana sababu!
Ajabu, watu walewale waliokuwa wanaponda video ya Mwana, leo wanasema ni nzuri. Walewale walioponda audio ya Chekecha, leo wanasema audio ila video mbaya.
Jaribuni kuwa na kumbukumbu basi, na hata unapokosoa kitu uje na hoja za kiufundi ili usijichanganye na maoni yako uliyotoa siku za nyuma, vinginevyo utakuwa na chuki binafsi tu.
Sasa kwa sisi mashabiki wa muziki mzuri tutabaki kujiuliza huyu naye kakosewa nini na Kiba? Maana Nassib tunajua anamchukia Kiba kwa sababu alimgongea dada ake (Queen Darleen) then akamtosa. Sasa ninyi wengine kuna kisa gani?
Ova
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaaaa!!! Uwiiii ndorobooooooo, limekufika hilo bibi weeee!! Eti profesional answer, si mlisema sie masikini hatuna elimu? Leo mnataka profesheno ansa kwetu!!!

Haya chekecha cheketuaaa chekecha chekatuaaaaa!!
Nimekupuza tu.

Coz ulidandia treni kwa mbele.

Utakandamizwaa!!!!

Kwa Leo tuishie hapa wahi kapate iftar magharibi maana swaumu imeingia hadi kwenye ubongo.

So far I lavyuu mpaka naumwazzzzz!!! U know I' m humbled- Mazigazi
 
Last edited by a moderator:
U have freedom of speech but freedom after speech that I can't guarantee u.

Sihitaji majibu yenye harufu ya shombo .better shut up ur " domochoo"

Nimeuliza swali linalohitaji professional judgements sio maneno ya kanga.

So far mind your own biznes u pathetic little worm.

# ukijamotonakurudishabaridiii.

Ova and out.
hahahahaaaaa ngoja nimsaidi@atoto huyu mtu alishasemaga hampendi nifah kisa aly k mwenzie akamjibu hivi"yupo kwenye mfungo"
hvyo bwana mazigazi km unasahau mi nakumbuka sana
nilikushangaa sana thar day kiukweli kabisa...

fake id zisikupe presha hvyoo

byeeee na karibu tena
 
Nimekupuza tu.

Coz ulidandia treni kwa mbele.

Utakandamizwaa!!!!

Kwa Leo tuishie hapa wahi kapate iftar magharibi maana swaumu imeingia hadi kwenye ubongo.

So far I lavyuu mpaka naumwazzzzz!!! U know I' m humbled- Mazigazi

Umenipuuza wakati umeniquote!! Like serious!!! Eti swaumu wht is that maybe?? Ulodandia treni hujioni au hujisomi uko wapi!!! Boguz!!!
 
Last edited by a moderator:
Unadhani wanashindwa!!! Walivyo boguz(in Matola's voice) hawashindwi kabisaaaaa!! They r very obsessed na Kiba na mapungufu yake, ovyooo kweli hii mijitu.

ila atoto mi nilishangaa sana nilivyoiona BUMBUM kwenye tuzo za mtv mama hadi leo sijapata jibu walitumia kigezo gani kuichagua????
 
Last edited by a moderator:
Mkuu yani hapo ilikuwa ni ku exchange contacts then anampa videos zake,, etc,etc. Sasa utashangaa huyu kijana wa kigoma atarejea na chekecho lake tu. Sad.
una matani mkuu, anyway hatuwezi jua Mungu mkubwa
 
YANI WEWE NA Matola mnaandika sana but making very little or NO POINT AT ALL.

Kwa taarifa yako kwa kanuni ya uandishi kuchanganya Caps ni dalili ya makelele, upper case na lower case zina kanuni yake katika uandishi.

Usipolitambuwa hilo kwanza ni nonsense at all whatever you shout here.

Argue don't shout.
 
Last edited by a moderator:
hahahahaaaaa ngoja nimsaidi@atoto huyu mtu alishasemaga hampendi nifah kisa aly k mwenzie akamjibu hivi"yupo kwenye mfungo"
hvyo bwana mazigazi km unasahau mi nakumbuka sana
nilikushangaa sana thar day kiukweli kabisa...

fake id zisikupe presha hvyoo

byeeee na karibu tena

Yaani huyu bibie ni bongeee la ndoroboooo kwelikweli, lazima achukie huwezi jua alikuwa anamvizia Mdakuzi to her suprise akakuta nifah kamuwahi, sasa chuki inamtafuna tuuuu!! Unamchukia vipi mtu humjui? Boguz
 
Last edited by a moderator:
Kumbe ni kiswahili? Mie nilijua ni kimanyema mwenzangu!!

yah nana ni kiswahili labda sankoro ndo kikwao huko ila BUMBUM atoto hadi nashikwa na hasira BUMBUM sio nyimbo ile ila may b labda kamshirikisha iyanya wa kwao ila duh wanaona ya kiba tu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom