Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,388
- 176,244
Zaidi ya kuvurugwa list ya ansowachukia wa kwanza ni nifah wa pili ni Mimi Diva hahaaa yani yeye kuchukia tu watu wasiopenda akiaminicho.
Siku hyo kafunga hata yule mwenye manywele nywele namchukia hahaaaa akawa anaomba mwezi mtukufu usiishe sasa huko si kutokujiamini.
Wanaume weeeeengine buaaaaana loh
Kumbe na wewe umo kwenye list!!! We ulimbania kwa nani? Basi huyu binti si bure ana matatizo makubwa aisee, na sehemu anazofanyiaga biashara zake anazitaje kabisaaa sijui ili wamfuate huko!! Nami nimeingia kwenye list leo, mbona atawamaliza kiba fans, cute b hebu ongea na huyo shost yako, mwambie hakuna mnunuzi humu, anatuchukia wanawake wenzie kisa nini!!
Last edited by a moderator: