Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

HahahahaHahahaha povu lote hili kwa ajili ya chekechacheketua video.

Tatizo ni kwamba video tushatoa no way out wote twende tu YouTube mkuu wala usione haya.

#Rockstar4000presents

Ninakuheshimu naombs Mimi na wewe tusifike mbali huyo mtoto hapo juu ni kwamba alidandia treni kwa mbele swali lisilomuhusu akanza kuniletea za kikikekike

Pamoja kwamba wewe ni diehard fan wa alikiba lakini naamini in terms of manhood( kama ni mwanaume) heshima na tahadhima utazizingatia.

Wasalaam Mazigazi
 
Last edited by a moderator:
Uwiiiiiii!! Ujikute tu ukinunua, we sema biashara imehadoda fullstop!!!
Humu hamna mnunuaji binti, sawa eeeeh!! Haya kwaheri kajaribu kwingine bibie. Ndoroboooo!
Matola huyu binti ulimnyima nini mbona yuko obsessed na wewe hivi!!! Maana imemuuma kweli, kumbe wengi inawauma eeeh!! Kuvurugwa biashara inapododa kubayaaaa!!

Hahaaa biashara imekua ngumu mno aisee inafanya watu wawe na stress. Don't waste ua time with stressed people.
 
Attachments

  • 1435777222232.jpg
    1435777222232.jpg
    6.3 KB · Views: 81
Last edited by a moderator:
Hahaaa biashara imekua ngumu mno aisee inafanya watu wawe na stress. Don't waste ua time with stressed people.

Nishamuacha huyo dada maana naona biashara kumdodea huko alikokutaja sijui wapi stress zake kaja kumalizia humu ndani!!!

Hayaaa chekecha cheketuaaaaa kwa raha zetu, stress tupa kuleeeeee
 
Wao wenyewe hawajielewi how do you think watakurlewa?

Yaani wamevurugwa hatari!!! Wanajipitisha tu humu sijui wanatafuta nini, au wameambiwa kuna mnunuaji nn!!! Sengine wanajiandika wanayoyafanya kwenye maisha yao ya kawaida, hahahaaaaa kuvurugwa kubabayaaaa!!

Hayaaaa chekecha cheketuaaaa

Hahaaa chezea stress na kutokujiamini wewe yani idadi ya wanaume inapungua sasa.
Ni video tu inampanikisha jitu zima na kujiropokesha hovyo hovyo. Hata kujiamini tu ni tatizo vilaza wengine bwana ni janga.
Ala let me keep cheketuaring (#Kibasvoice.
#BeARealManAndBelieveYourself .
 
Yaani wengine wanajitia aibu tu kujiita wanaume hapa maana inaonyesha ni jinsi gani walivyo haramu.
Kiba anawafanya watu vibayaaa hadi wanasahau jinsia zao, teh teh teh

Hayaaa chekecha cheketuaaaaa
 
Nishamuacha huyo dada maana naona biashara kumdodea huko alikokutaja sijui wapi stress zake kaja kumalizia humu ndani!!!

Hayaaa chekecha cheketuaaaaa kwa raha zetu, stress tupa kuleeeeee

Mbwa ukimjua jina hakusumbui kamwe wala hakubwekei ka jibwa koko silence is the best answer my dia. Huyo ndo zake kwa vile kazoea Ku sell anafikiria kila mtu ni cheap slu.t
Hii chekecha imeleta mambo hili povu linazidi Indian ocean yani ka Tsunami.
 
Yaani huyu binti kavurugwa sio utani!!! Anajipitisha tuuu kapewa za uso ila yumo tuuuu!!
Watu kama hao huwa wanachekesha sana, mikwala miiingi alafu hana lolote la maana heheh! Ila ipo siku ataipenda tu mwache ajichetue tu!
 
Yaani wengine wanajitia aibu tu kujiita wanaume hapa maana inaonyesha ni jinsi gani walivyo haramu.
Kiba anawafanya watu vibayaaa hadi wanasahau jinsia zao, teh teh teh

Hayaaa chekecha cheketuaaaaa

Hahaaaa Jide hakukoseaga kuimba ule wimbo wa #WanaumeKaMabinti aisee kila siku wanapungua tu, kwa kuzoea mambo ya kike kike.
Mwanaume gani hujiamini. Wanaume kamili wote hawa andiki pumba wanatafta mpunga hawa machoko sasa daily kushindana na wanawake inabidi bikini ziongezwe aisee mana demand inaongeza.
Halooooooo ya chekecha cheketuaaaaaaaaa, Kiba ume rock as usual.
 
Mbwa ukimjua jina hakusumbui kamwe wala hakubwekei ka jibwa koko silence is the best answer my dia. Huyo ndo zake kwa vile kazoea Ku sell anafikiria kila mtu ni cheap slu.t
Hii chekecha imeleta mambo hili povu linazidi Indian ocean yani ka Tsunami.

Hahahaaaa kavurugwa hatari aniongeze kwenye list yake ya anaowachukia baada ya nifah, yaani hili balaa lote kalileta Matola maana ndio alikuwa anammendea humu sasa akaona nambania acha acharukeee!!! Hahahaaaa yaani nimecheka leo anadhani kanipata kumbe walaaa mie namuona zoba tu!!
 
Last edited by a moderator:
Watu kama hao huwa wanachekesha sana, mikwala miiingi alafu hana lolote la maana heheh! Ila ipo siku ataipenda tu mwache ajichetue tu!

Baada ya kuona biashara imemdodea binti akajidai eti yeye mwanaume, hahahaaaaaa anawajua wanaume kweli huyu!!! Akafie mbali huko hakuna mnunuzi humu, kadodajeee hadi huruma yaani.
 
L
Hahahaaaa kavurugwa hatari aniongeze kwenye list yake ya anaowachukia baada ya nifah, yaani hili balaa lote kalileta Matola maana ndio alikuwa anammendea humu sasa akaona nambania acha acharukeee!!! Hahahaaaa yaani nimecheka leo anadhani kanipata kumbe walaaa mie namuona zoba tu!!

Zaidi ya kuvurugwa list ya ansowachukia wa kwanza ni nifah wa pili ni Mimi Diva hahaaa yani yeye kuchukia tu watu wasiopenda akiaminicho.
Siku hyo kafunga hata yule mwenye manywele nywele namchukia hahaaaa akawa anaomba mwezi mtukufu usiishe sasa huko si kutokujiamini.
Wanaume weeeeengine buaaaaana loh
Hahaaaa kumbe alikua ana mendea baada ya kukosa ndo ana ma stress na hasira Matola hebu njoo utoe letamkoz utamfanya mtu akatishe uhai wake kabla ya siku.
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaa Jide hakukoseaga kuimba ule wimbo wa #WanaumeKaMabinti aisee kila siku wanapungua tu, kwa kuzoea mambo ya kike kike.
Mwanaume gani hujiamini. Wanaume kamili wote hawa andiki pumba wanatafta mpunga hawa machoko sasa daily kushindana na wanawake inabidi bikini ziongezwe aisee mana demand inaongeza.
Halooooooo ya chekecha cheketuaaaaaaaaa, Kiba ume rock as usual.

Hahahaaaaaa!!! Amekosa haramu wenzie wa kumuoa akaamua aje abahatishe humu, hakujua kuwa hii ni royal family hakunaga uchafu wa hivyo!!!
Ama kweli hii ni halooo ya cheketua, na wamechekechwa hatari hadi wanazikana jinsia zao, nyambafuuuuu!

Hayaaa chekecha cheketuaaaa
 
Back
Top Bottom