Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,292
Ila haya mapepo yao yana viburiiiii sijui nayo yamekula maharage ya wapiiiii!!!
Pepo tokaaaaaaaaa!!!
Hahaaaa hamna pepo lenye kiburi yote lazma ya surrender tu hamna jinsi in Gwajimaz voice.
Ila haya mapepo yao yana viburiiiii sijui nayo yamekula maharage ya wapiiiii!!!
Pepo tokaaaaaaaaa!!!
Kwakweli hii video ya Kiba sijisikii vizuri kuiangalia sana, inanipa machungu ni kwa nini nime-abandon kazi ambayo niliipenda sana na ndio iliyonifanya niwe nilipo leo.
Ipo siku nadhani tutayafanya haya kwetu ngoja ngoja kwanza tuyaondowe madarakani majinga ya kufikiri, nadhani mpaka leo bado hamjui kwa nini wengine hatutaki hata kuisikia nyinyiemu maana inauma sana daktari wa binadamu kulazimika kufanya kazi ya uhasibu kwa sababu taaluma yako haina thamani kwenu.
Hahaaaa hamna pepo lenye kiburi yote lazma ya surrender tu hamna jinsi in Gwajimaz voice.
Ha ha ha!
Mmejua kunipa rahaa
Ha ha ha!
Mmejua kunipa rahaa
I offer u raha zaidi, kazi ni kwako.
Ulikuwa wapi princess jamani hadi watu wanataka kuzichukua nafasi yako hapa!!
Ni watu wenye stress tu za maisha pa kuzipunguzia ni JF inabidi waende kwa ma psychiatric. Awasaidie wajitambue.
I offer u raha zaidi, kazi ni kwako.
Hahahaaa ndo basi tena masikini pole yake!
Kama ni hivyo basi watachukia sana badi.Hayo maneno ndio yanayosababisha tuchukiwe humu wewe!!
Ms.Lincoln u know exactly what i mean, no bla! bla!Ha ha!
Hapana chezea uhondo wa raha wewe.
Mwenzangu nilikua nacheketua si wajua ndio habare ya mjiniiii
Kweli naona leo umeamua.😛
Yupi tena huyo? Mbona kama ni nyumba tayari inampangaji?
Hatuna uhaba Kiba fans, if the case ni partner i prefare Kiba fan lady to be my partner not otherwise.
Eti mtu anajitetea na joining date wakati boguz kabisaaa, anadhani joining date ndio kitu gani?? Mie nilikuwa nawaheshimu watu waliojiunga jf muda mrefu maana wanajitambua, kumbe na mamluki wamo aisee!!
Huyo ndo zako hata kwenye ..... Yake nyingine hujitetea na joining date. Kwanza haijalishi wote tu member
#ChekechaCheketuaCheketuaringInKibasVoice .
Uwiiii utafanya mtu ajinyonge huko alipo, maana kakushobokea weeee ukamchunia jamani, acha anivalie njuga kisa nilisema mie secretary wako, sijui alikuwa anautaka huo usecretary!!!
Fact hatuna uhaba in our Family here in Kiba Fans, i can propose here any single fan rather than Domos misukules.