Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

haki ya mungu nana bumbum et ni title za wimbo ila ok lets go to the point mwakani kwenye kili tunabeba tuzo zoteeeee msikie salama jabir kwanza alivyosema

Hahaaaaa!! Salama bwana!!
Hayaaaa chekecha cheketuaaa
 
Woyoooooo!
We got them where we wanted to!
Its Cheketua all day looong!
Kadri mnavozidi kusema mbaya watu wanatamani kuiona na kuona mbaya afu wanaprove kuwa sio mbaya!

Wazee wa takwimu wanataka takwimu aiseee!! Boguz
 
fresh sana cute b. nipo poa vipi wewe

Safi Th Name. Ebu niimbie nicheketue mimi.


Aya chekecha

Chekecha (x11)

Aya chekesha cheketua cheke chekecha cheketua -cheke chekesha cheketua cheke chekesha cheketua cheke

Yeah uuh cheke chekecha -aah heyiiii-
 
Last edited by a moderator:
Nimeshaelewa majirani zetu walikuwa wanataka video iweje.
Waliona zile clip za YouTube watu wakichekechua wakajua kiba ni boya kama domo.
Walitaka kiba akakodishe wachaza baikoko wacheze shombo kama kwenye ile video ya nasema nawe ya ndomo ili isichezwe kwenye media hahahaaaaaaa.
Nachekaga jaman huo wimbo kila nikikuta unachezwa lazma ukatizwe njiani maana hauna maadili.
Kiba umewaumbua watu maana walizan ivi wew ukaja ivi
 
Lord have mercy..! La moyoni kwa Lupita wewe umelijuaje?
lupita kamzimia vibaya ali kiba,mitandao ya kenya inasema wameongea sana,inawezekana dogo akabeba mzigo,zari hagusi kwa huyu superstar
 
Back
Top Bottom