Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Umeongea point dear walivoona video za u tube wakatamani na video yake iwe ya kukata mauno vibaya hadharani. Nashukuru kiba alikua mjanja hakuweka hayo mauno ka ya khanga moko mana ni kinyume na maadili na hapo pa kuchekechua pasingeonyeshwa.

aise mi napenda ile slow motion na pale king anapomfuata kellyz mbowe kwenye gari hafu akashtuka kidogo halafu na abdu yupo mwishooni
 
tizama hivyo vibint,.. vinalike hata pumba. Em nipe kwa kifupi whats up with cheke. maana sikuwepo.

Ebu ita vizuri wewe jiheshimu hapa hakuna vibinti labda wa kwako hata tukitoa like wewe unaumia nini? Na wewe katafte vibinti vikupe like ka unaona ni rahisi.
 
Lord have mercy..! La moyoni kwa Lupita wewe umelijuaje?

Hahahahah wanaopenda vya bure utawajua tu mkuu.

Si kingkibaka anapenda kulelewa sasa na hapa washaanza kumpa presha afukuzie dolari za Hollywood za cheusi lupita hahahah so far
 
aise mi napenda ile slow motion na pale king anapomfuata kellyz mbowe kwenye gari hafu akashtuka kidogo halafu na abdu yupo mwishooni

Video imenivutia sana hasa hapo alivokutana na huyo binti pa ki slow motion. #kingKiba katisha sana kwa kweli. Hafu kuna jinsi flani hucheza yani hapo hunimaliza kabisa.
 
Yaani yule demu anavyongesha hata mpenzi wangu cute b haoni ndani, halafu king naye yupo kwa nyuma anathaminisha msambwanda

Weee hujaona mauno yangu vizuri weye... kama feni mbovu.
Sema wew hunipagi hela so naona nisijichoshe
 
Last edited by a moderator:
Ebu ita vizuri wewe jiheshimu hapa hakuna vibinti labda wa kwako hata tukitoa like wewe unaumia nini? Na wewe katafte vibinti vikupe like ka unaona ni rahisi.
sasa unapaniki nini wakati mimi niko relaxed.
 
Ebu ita vizuri wewe jiheshimu hapa hakuna vibinti labda wa kwako hata tukitoa like wewe unaumia nini? Na wewe katafte vibinti vikupe like ka unaona ni rahisi.

Nadhani ni vizuri mngeandaa ambulance hapa maana it's not normal. Is hoooooooot.
 
kama nakuona vile we mtu hatari sana
haya chekecha chekecha cheketua
twende sasaaaaa
#chekechvideo
Aaaaaahhhh akiyananiiii kiba anauaaaaaaaa.
Yaan mwanaume akiniimbia huu wimbo ata kama hana ela nitajikuta namwachia free p. Th Name niimbie sasa

Penzi alinipa mama nami leo nakupatia tena sitaki lawama penzi kiapo hakuna-

Mi ntakupenda sana mpaka wivu utakimbia nami ntalia na wewe mimi kwako nyang’a nyang’a nyang’a-

Nini unataka mi nina miujiza nini unataka-

Ama ni maji ya bluelight sema nini unataka-

Nikugeuze Princess sema nini unataka

Unavyo biringa bayondo hivyo mi ndo nataka taka sana natakaa

Siamini yaani siamini yamenipanda kichwani mahaba ya kuota sinitimi yamenikoleza mwilini

Siamini ooh siamini yamenipanda kichwani mahaba ya kuota sinitimi yamenikoleza mwilini

Aya chekecha

Chekecha (x11)

Aya chekesha cheketua cheke chekecha cheketua -cheke chekesha cheketua cheke chekesha cheketua cheke

Yeah uuh cheke chekecha -aah heyiiii-
 
Last edited by a moderator:
Ebu ita vizuri wewe jiheshimu hapa hakuna vibinti labda wa kwako hata tukitoa like wewe unaumia nini? Na wewe katafte vibinti vikupe like ka unaona ni rahisi.

Avitoe wapi na kazi yake ni kujungua tu!
 
Aaaaaahhhh akiyananiiii kiba anauaaaaaaaa.
Yaan mwanaume akiniimbia huu wimbo ata kama hana ela nitajikuta namwachia free p. Th Name niimbie sasa

Penzi alinipa mama nami leo nakupatia tena sitaki lawama penzi kiapo hakuna-

Mi ntakupenda sana mpaka wivu utakimbia nami ntalia na wewe mimi kwako nyang’a nyang’a nyang’a-

Nini unataka mi nina miujiza nini unataka-

Ama ni maji ya bluelight sema nini unataka-

Nikugeuze Princess sema nini unataka

Unavyo biringa bayondo hivyo mi ndo nataka taka sana natakaa

Nini unataka mi nina miujiza nini unataka-

Nikugeuze Princess sema nini unataka

Siamini yaani siamini yamenipanda kichwani mahaba ya kuota sinitimi yamenikoleza mwilini

Siamini ooh siamini yamenipanda kichwani mahaba ya kuota sinitimi yamenikoleza mwilini

Aya chekecha

Chekecha (x11)

Aya chekesha cheketua cheke chekecha cheketua -cheke chekesha cheketua cheke chekesha cheketua cheke

Yeah uuh cheke chekecha -aah heyiiii-

nikwambie kitu
 
Last edited by a moderator:
Ama kweli ulikuwa unajisemea, kumbe swaumu imefika kichwani!! Haya ugua pole

Hayaaaaa chekecha cheketuaaaa

Hahahahhaha mi na swaumu wapi na wapi nipo hapa lushoto kwa frank napata mbuzi katoliki karibishwa sana
 
Back
Top Bottom