Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Na hakuna kitu kinawauma kama kuona King kumbe ana fans wenye mapenzi ya dhati naye basi ndio wanatamani wajitundike, mie kuna mmoja aliwahi kunipm akiniuliza je nina undugu wowote na Kiba? Hata sikumjibu shwain yule, na hawatoweza kuondoa atention yetu kwa king maana we r here to stay.
hahahaaaa.....hahaaa...eti PM hawajielewi hao!!nampenda kiba mno tena mno
na video kwa kweli ni nzuri wala si mbaya sema hivi roho zao ni nyeusi na kwa style hiyo...nshawaona ni mafisi tuui
 
Na ile style ya kurusha vibega kama kuku mwenye mdondo!
Style zake za kucheza very familiar...video zake very presictable.
Jamaniii mniwacheeee acheni niwe wa tofautiii

umeon eehhhh ndo mule mule!!yaani we dada ur too good oooohh...!!!
 
hahahaaaa.....hahaaa...eti PM hawajielewi hao!!nampenda kiba mno tena mno
na video kwa kweli ni nzuri wala si mbaya sema hivi roho zao ni nyeusi na kwa style hiyo...nshawaona ni mafisi tuui

Video hata nafsi zao zinajua kuwa ni boooonge la kitu, sema imewauma kuona Kiba ametoboa hadi trace bila kuwalamba kwato wapopo, baasi wananeng'eneka hatari, huu ni mwanzo tu, ndio kwanzaaaaa kumekucha, wajiandae tu maana we only see them as motivators yaani ni mwendo mdundo, haturuhusu vijuso kuingilia maendeleo ya king kamweee!
 
Washazoea km ilivyo kwa show zake inavyojulikana ataingia hivi na atamaliza hivi basi hata na video zake ni hivyo hivyo, unajua tu atarusha tu vibega km mtu mwenye pepo, atarusha miguu, atakimbia kimbia, baasi, sasa King ni unpredictable anakuja na vitu vilivyokwenda shule yaani mpaka uwe unaijua fasihi ndio uielewe, sanaa ni "ufundi" sasa km unachezea tu sanaa na kufanya vitu vyepeeeesi wewe tukuiteje labda,

Kiba ni brand ati, kipaji kisichotakiwa kuchezewa hata kwa bahati mbaya.

Katika mapashkuna wote walio ponda video, hakuna hata mmoja alojibu swali kuhusu yeye amgwpendelea video iweje!
*Angefanyia tu bongo
*Asingevaa suit
*Sijaona mauno
* Mtaa mchafu
*Angefanya kwa Adam Juma
*Asingetolea south
Like serious? ?
They are just obsessed little f**ckers.
Thats all.
I rest my case.
#controllingfreaks #yourdestructiveopinionsdontrealmatter
 
Sasa waeleze wakati wao wanajua vibega tu na kutikisa matako, mwanaume mzimaa unakazana kutikisa matako ili iwe nn sasa!!
Watolee zao tz hatujawashikia fimbo, ila hiyo ndio ishatolewa south na hata akitaka kutolea sebuleni tu ni yeye kwani mnamlipa???

Hayaaa chekecha cheketuaaaaaaa
 
Mfalme
 
Attachments

  • 1435755309294.jpg
    1435755309294.jpg
    40 KB · Views: 834
Sasa waeleze wakati wao wanajua vibega tu na kutikisa matako, mwanaume mzimaa unakazana kutikisa matako ili iwe nn sasa!!
Watolee zao tz hatujawashikia fimbo, ila hiyo ndio ishatolewa south na hata akitaka kutolea sebuleni tu ni yeye kwani mnamlipa???

Hayaaa chekecha cheketuaaaaaaa

ndo naiangalia hapa japo mtandao unazingua
video ni nzuri sana ukitaka kujua hawa watu
si wazuri ona video ya nasema nawe michangudoa inavyokata viuno wanasifia upuuzi wadada wanavyojidhalilisha ila angefanya mwingine wangeponda

Video hata nafsi zao zinajua kuwa ni boooonge la kitu, sema imewauma kuona Kiba ametoboa hadi trace bila kuwalamba kwato wapopo, baasi wananeng'eneka hatari, huu ni mwanzo tu, ndio kwanzaaaaa kumekucha, wajiandae tu maana we only see them as motivators yaani ni mwendo mdundo, haturuhusu vijuso kuingilia maendeleo ya king kamweee!

Katika mapashkuna wote walio ponda video, hakuna hata mmoja alojibu swali kuhusu yeye amgwpendelea video iweje!
*Angefanyia tu bongo
*Asingevaa suit
*Sijaona mauno
* Mtaa mchafu
*Angefanya kwa Adam Juma
*Asingetolea south
Like serious? ?
They are just obsessed little f**ckers.
Thats all.
I rest my case.
#controllingfreaks #yourdestructiveopinionsdontrealmatter
 
nimekuzoea kuongea kwa mikwara na vitisho ilhali hoja unakua huna.
Ninakumbuka vizuri fasih niloisoma form three...

Jina la hadith, story au kitabu na picha ambayo ipo juu ya kava uwa kwa kifupi vinaonesha themes kwa nini kipo ndani.

If that is so! Nijibu sasa.

Jina ,chekecha cheketua na vimbwanga vinavyoonekana kuna uhusiano gani.

Ndio maana twasema, hata wale wahusika ktk video hataelewi walichokua wanafanya.0lakin la muhm zaid sidhani kama ilikua na script na kama ilikuwepo basi director hakuielewa.

Ukinijibu ki lofa nakupotezea mazima.

Basi hukuelewa kama kuna aina mbili za Fasihi, ambayo ni hiyo uliyoitaja inayoitwa Fasihi Andishi na nyingine ni Fasihi Simulizi.
Muziki nao ni Fasihi Simulizi. Kingine ni kwamba, nadhani hujui kuwa kuna aina kama nne hivi za video za muziki.
Zipo za kuigiza kinachoimbwa, zipo za kutumbuiza jukwaani na zipo za kuwa na kisa chake tofauti (storyline) na mashairi ya wimbo.
Kuna video nyingi sana za mtindo huu, hata hapa Bongo zipo na huko nje kwa wanamuziki wakubwa, kwa sababu ziko ktk misingi.
Jambo la muhimu hapa ni kuruhusu akili kupokea ufahamu Mpya wa mambo kuliko kuendelea kuishi kwa kukariri kama mnara wa kumbukumbu.
Ova
 
ndo naiangalia hapa japo mtandao unazingua
video ni nzuri sana ukitaka kujua hawa watu
si wazuri ona video ya nasema nawe michangudoa inavyokata viuno wanasifia upuuzi wadada wanavyojidhalilisha ila angefanya mwingine wangeponda

Yaani hawa watu ni vilaza plus plus, na ndicho walichotegemea wakione kwenye video ya king si unaona wanauliza mbona hawaoni viuno?? Hawajui kuwa king ana maadili hawezi fanya vitu vya kipuuzi hivyo,

tena umenikumbusha siku moja ofisini baba mmoja mtu mzima alikuwa anasimulia alivyoiona hiyo video ya taarabu ya ndomo bar mpaka akapaliwa na bia ikabidi ahame alipokuwa amekaa ili asiendelee kuiona, yaani aliilaani hatari. Mie i only saw it once na nikaikinai hapohapo.

Kiba ana fans wa rika zoteee so lazima ashirikishe ubongo anapofanya kitu, sio unakurupuka tu km unakimbizwa na kibaka.
 
Basi hukuelewa kama kuna aina mbili za Fasihi, ambayo ni hiyo uliyoitaja inayoitwa Fasihi Andishi na nyingine ni Fasihi Simulizi.
Muziki nao ni Fasihi Simulizi. Kingine ni kwamba, nadhani hujui kuwa kuna aina kama nne hivi za video za muziki.
Zipo za kuigiza kinachoimbwa, zipo za kutumbuiza jukwaani na zipo za kuwa na kisa chake tofauti (storyline) na mashairi ya wimbo.
Kuna video nyingi sana za mtindo huu, hata hapa Bongo zipo na huko nje kwa wanamuziki wakubwa, kwa sababu ziko ktk misingi.
Jambo la muhimu hapa ni kuruhusu akili kupokea ufahamu Mpya wa mambo kuliko kuendelea kuishi kwa kukariri kama mnara wa kumbukumbu.
Ova

Hahahaaaaa!! Hata anaijua hiyo fasihi? Anajichetua tu hapa tujue naye alifika form 3 kitu ambacho i doubt, kwani pale king alikuwa anaandika kitabu?? Kuna tofauti kubwa mno kati ya fasihi andishi na fasihi simulizi(ambayo nyimbo iko ndani yake), hizi brn ni majanga yaani hata fact rahisiii wanatumia nguvu nyiiingi kuielewa, ukimuuliza ngololo ina maana gani atatuambia??? Hebu watupishe huko, shule zifunguliwe warudi wasitujazie server bila sababu za msinhi humu.
 
Matola yuko sahihi sana anaposema props za kale ni ghali zaidi kuliko za kisasa unazoweza kuzipata kwa haraka na unafuu.
Nakumbuka wakati wa sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika kuliko na mpango kurekodi short film ya enzi hizo za kupata Uhuru.
Kulikuwa na wazo la muziki na filamu, lakini matokeo yake ilirekodiwa muziki tu lakini film ikashindikana kutokana na props za magari ya wakati huo kuhitaji muda mrefu kuyakusanya.
Mwisho aliyepewa kazi hiyo kutakiwa kuachana nayo.
Ova
 
Last edited by a moderator:

Umejua kunichekesha shemeji yangu, hadi wananishangaa hapa. Dah, una vituko sana aiseeh!
Ova
 
Basi hukuelewa kama kuna aina mbili za Fasihi, ambayo ni hiyo uliyoitaja inayoitwa Fasihi Andishi na nyingine ni Fasihi Simulizi.
Muziki nao ni Fasihi Simulizi. Kingine ni kwamba, nadhani hujui kuwa kuna aina kama nne hivi za video za muziki.
Zipo za kuigiza kinachoimbwa, zipo za kutumbuiza jukwaani na zipo za kuwa na kisa chake tofauti (storyline) na mashairi ya wimbo.
Kuna video nyingi sana za mtindo huu, hata hapa Bongo zipo na huko nje kwa wanamuziki wakubwa, kwa sababu ziko ktk misingi.
Jambo la muhimu hapa ni kuruhusu akili kupokea ufahamu Mpya wa mambo kuliko kuendelea kuishi kwa kukariri kama mnara wa kumbukumbu.
Ova
hv waulize hivi zile video za nje ya nchi hasa USA? kinachoimbwa ndo kinachoonyeshwa kwenye video..?!
 
Yaani hawa watu ni vilaza plus plus, na ndicho walichotegemea wakione kwenye video ya king si unaona wanauliza mbona hawaoni viuno?? Hawajui kuwa king ana maadili hawezi fanya vitu vya kipuuzi hivyo,

tena umenikumbusha siku moja ofisini baba mmoja mtu mzima alikuwa anasimulia alivyoiona hiyo video ya taarabu ya ndomo bar mpaka akapaliwa na bia ikabidi ahame alipokuwa amekaa ili asiendelee kuiona, yaani aliilaani hatari. Mie i only saw it once na nikaikinai hapohapo.

Kiba ana fans wa rika zoteee so lazima ashirikishe ubongo anapofanya kitu, sio unakurupuka tu km unakimbizwa na kibaka.

mie sijawahi hata kuiona yote mara nyingi naikuta kati tuu..!!
sina mda mchafu wa kuangalia utumbo ule!
washabiki wa daimond wana roho flani hv mbaya waulize video ya nana joti yupo,au hata ronaldo?
kucheza cheza km komborela ndo video kua bora

hawa lengo lao ni kudiscourage ili watu wasiiangalie na viewers wawe wachache u tube thats it...!!!
 
Umejua kunichekesha shemeji yangu, hadi wananishangaa hapa. Dah, una vituko sana aiseeh!
Ova

Nafurahi unapofurahi shemdarling, ( nifah upo kwenye mfungo so tafadhali usije humu)
 
Last edited by a moderator:
Matola yuko sahihi sana anaposema props za kale ni ghali zaidi kuliko za kisasa unazoweza kuzipata kwa haraka na unafuu.
Nakumbuka wakati wa sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika kuliko na mpango kurekodi short film ya enzi hizo za kupata Uhuru.
Kulikuwa na wazo la muziki na filamu, lakini matokeo yake ilirekodiwa muziki tu lakini film ikashindikana kutokana na props za magari ya wakati huo kuhitaji muda mrefu kuyakusanya.
Mwisho aliyepewa kazi hiyo kutakiwa kuachana nayo.
Ova

Yahitaji akili ni exposure kuyajuwa haya, mimi ni mpenzi sana wa movie za Hollywood action movie na South Korea series nilibahatika katika maisha yangu kushiriki kuandaa movie ambayo location yake moja ya vipande kampuni yetu ndio ilipewa jukumu la kuandaa dressing na upset na decorations zote, kuna watu (wazungu) walikusanywa kutoka kwa agency mbalimbali duniani mimi sikuwahi kuamini kama ni kweli watu kama wale wapo wanaexist duniani, kumbe ni kweli wapo na kuna kampuni maalum ndio kazi zake kwa kila hitaji lako kwenye film industry.

Hapa nawazungumzia watu kama Christopher Lee wa kwenye movie za James bond 007.
 
Last edited by a moderator:
hv waulize hivi zile video za nje ya nchi hasa USA? kinachoimbwa ndo kinachoonyeshwa kwenye video..?!

Mie mpaka leo nilikuwa nasubiri wafungue uzi waniambie ngololo na sankoro ni nini na kwenye video ilikuwa wapi nashangaa cjawaona, wanakazana tu kumuona king akiwa nyang'anyang'a, mxiiiuuuuuuu!! In bi chauz voice
 
Back
Top Bottom