Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Khaahaaahaa nimeona Mdakuzi kawapa nondo
Lakini wanagwaya kuzielewa

Wanafurahisha sana
Suti zilikuwepo tangu karne zilizopita
Wao wameziona kwa Kiba tu 2015!!
Teh teh jamii forum kuna vioja

Yaani hawa ni zaidi ya majanga, no wonder wanavamia tu kila mahali bila ya hata kushirikisha ubongo(ambao nina mashaka km wanao), ni boguz hatari.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo hili pimbi kiba halijui kutumia fursa.
attachment.php
 
Na ile style ya kurusha vibega kama kuku mwenye mdondo!
Style zake za kucheza very familiar...video zake very presictable.
Jamaniii mniwacheeee acheni niwe wa tofautiii

style yake toka moyo wangu ndo ile ile nakujibinua kama gashi vile kumbe ni ......???
 

Attachments

  • 1435761278985.jpg
    1435761278985.jpg
    32 KB · Views: 50
kitambaa mfukoni kama teja la kinondoni linataka kuiba ile sio video ni muvi ile nana

Yaani utadhani teja anamnyatia binti amuibie, sasa hizo ndizo walizozoea hizi za kushirikisha ubongo hataaaa hawazitaki.
 
Yaani hawa watu ni vilaza plus plus, na ndicho walichotegemea wakione kwenye video ya king si unaona wanauliza mbona hawaoni viuno?? Hawajui kuwa king ana maadili hawezi fanya vitu vya kipuuzi hivyo,

tena umenikumbusha siku moja ofisini baba mmoja mtu mzima alikuwa anasimulia alivyoiona hiyo video ya taarabu ya ndomo bar mpaka akapaliwa na bia ikabidi ahame alipokuwa amekaa ili asiendelee kuiona, yaani aliilaani hatari. Mie i only saw it once na nikaikinai hapohapo.

Kiba ana fans wa rika zoteee so lazima ashirikishe ubongo anapofanya kitu, sio unakurupuka tu km unakimbizwa na kibaka.

et uzurizuri wako ya jux ilifungiwa ila nasema nawe imeacha kisa domo
 
Boguz reply.

Hahahahahhahah so sad!!.

Yaani ni jambo la kuchekesha na aibu mwanaume kusapoti ujingajinga hivi.

Umejinasibisha kwamba wewe ni professional wa video and movie making na kwamba umefanya kazi na wazungu katika hiyo nyanja.

Ulipaswa kujibu swali langu nililouliza sio kuendeleza maneno ya "kanga" kama hivi.na kuleta taraghani nyingiii sana na kujifanya mjuaji .

Kama ni hiyo video and movie making ndio professional yako(inayokupa ugali wewe na watoto wako) basi hujaitendea haki kwa kua umetanguliza ushabiki mbele badala ya utaalamu wako.

Nilisema hakuna kilichotengenezwa kwa mikono ya binadamu kisiwe na makosa(isipokua MUNGU tu).So nilitegemea wewe kama mtaalamu kama ulivyotuambia utuambie sisi tusiojua,makosa na mapungufu maana umetaja ubora tu.

Naamini wewe kama MTU mzima unaejielewa utanijibu kiutuzima zaidi maana heshima na tahadhima nimezizingatia kukuuliza swali hili.

Wasalaam Mazigazi
 
Last edited by a moderator:
nimeingia kwenye page ya cocay cola ambapo kiba atakuwa live akijibu maswali... ndio post yenye comments na likes nyingi zaidi ktk page yao....afu wakija huku wanaponda akati wanamfuatilia chochote anachofanya.. nendeni fb mkaone page ya coca cola

hata trace pia alivunja recod likes na comment haijawahi tokea mkito alivunja recod pia ya cheketua ilivyotoka sema jamaaa mkimya sana that y ilove him
 
wametumia lugha gani au shemej kidot alikuepo toto lupita ningekua bilionea ninge kuoa sio midemu mkorogo na michina
 
Back
Top Bottom