Teh teh
Naijua maana ya mauno
Ila
Ila niniiii? Au unazani kiuno changu kimejengwa na zegeeeeeee?
Teh teh
Naijua maana ya mauno
Ila
diamond yuko tandale anazibua mitaro ili aepuke mafuriko.,dogo anaongeza PR yake
Mbona unakua Kama uko shimoni? Yaani hujui kua Diamond yuko Nigeria kwa show ya tarehe 3July. Au ndio kibri....Acha umazwazwa bana!
diamond yuko tandale anazibua mitaro ili aepuke mafuriko.,dogo anaongeza PR yake
lupita kamzimia vibaya ali kiba,mitandao ya kenya inasema wameongea sana,inawezekana dogo akabeba mzigo,zari hagusi kwa huyu superstar
Hongera kiba kwa ku release video!
Though imechukua muda, ila imetoka..
Abou Saydou already au hujaiona nishakujibu tayari
Ila niniiii? Au unazani kiuno changu kimejengwa na zegeeeeeee?
Gentleman comment.
Tulimpa plessure na tukamkosoa na akasikiliza ushauri wetu namsifu kwa kuwa msikivu.
Kiba alitaka mwezi wa Ramadhani upite ndio aiachie video lakini nguvu ya umma immembadili mawazo.
Nampa hongera za dhati kabisa video iko safi na katika ubora wake na mimi ni proffesional kwenye sekta hiyo ingawa sifanyi kazi hizo kwa sasa.
already
Nimenyonga vitu haswaa yaani. Kwendraaaaaaa hujui maana ya mauno?
Kwi kwi kwiiiii ngoja ikiwekwa nitakuambia ukajioneee
tayari jmbCome again
Aiseeehhh!!??
Safi Th Name. Ebu niimbie nicheketue mimi.
Aya chekecha
Chekecha (x11)
Aya chekesha cheketua cheke chekecha cheketua -cheke chekesha cheketua cheke chekesha cheketua cheke
Yeah uuh cheke chekecha -aah heyiiii-
Yaani yule demu anavyongesha hata mpenzi wangu cute b haoni ndani, halafu king naye yupo kwa nyuma anathaminisha msambwanda
Nimeshaelewa majirani zetu walikuwa wanataka video iweje.
Waliona zile clip za YouTube watu wakichekechua wakajua kiba ni boya kama domo.
Walitaka kiba akakodishe wachaza baikoko wacheze shombo kama kwenye ile video ya nasema nawe ya ndomo ili isichezwe kwenye media hahahaaaaaaa.
Nachekaga jaman huo wimbo kila nikikuta unachezwa lazma ukatizwe njiani maana hauna maadili.
Kiba umewaumbua watu maana walizan ivi wew ukaja ivi
unasumbuliwa na tatizo la kupiga kiroba na kushushia utumbo wa kuku,ulichoandika humu ni utumbo
tizama hivyo vibint,.. vinalike hata pumba. Em nipe kwa kifupi whats up with cheke. maana sikuwepo.Sasa hapa unashangaa au unauliza? Unafahamu matumizi ya hizi alama? Hii hapa ! na hii hapa ?