Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Hii kiba amejimaliza mwenyewe, video mbaya with poor quality. Kwa kweli anawapa taabu misukule yake kumbeba.
 
U have freedom of speech but freedom after speech that I can't guarantee u.

Sihitaji majibu yenye harufu ya shombo .better shut up ur " domochoo"

Nimeuliza swali linalohitaji professional judgements sio maneno ya kanga.

So far mind your own biznes u pathetic little worm.

# ukijamotonakurudishabaridiii.

Ova and out.

Hahahahaaaaaa!!! Uwiiii ndorobooooooo, limekufika hilo bibi weeee!! Eti profesional answer, si mlisema sie masikini hatuna elimu? Leo mnataka profesheno ansa kwetu!!!

Haya chekecha cheketuaaa chekecha chekatuaaaaa!!
 
Hahahaha ila kajitutumua maana inahitaji moyo wa jiwe kudiss hii video, hili songi jaman linabamba haliishi utam hasa likipigwa kwenye vyombo vya uhakika. Halaf sikujua kuwa kiba ana dimpoz dah, wadada wanafaudu jamani hatareeeeee

Hahahaaaaa mkuu wew hazikutoshiiiii
 
Hii kiba amejimaliza mwenyewe, video mbaya with poor quality. Kwa kweli anawapa taabu misukule yake kumbeba.

And the story goes on and on and on, bt it wont change a thing, Kiba ni dhahabu hata mchangani anang'aaaaaaaaa!!

Hayaaa chekecha cheketuaaaaaaaaa
 
Hii kiba amejimaliza mwenyewe, video mbaya with poor quality. Kwa kweli anawapa taabu misukule yake kumbeba.

Jamaniii mi nataka saule kama mapenzi gorofa yamejaa Kariakoo

Mi nna mapenzi tele kama kwetu kule -

Wanao nitaka ni wengi ila kwako nyang’a nyang’a nyang’a

—–

Nini unataka mi nina miujiza nini unataka-

Ama ni maji ya bluelight sema nini unataka-

Nikugeuze Princess sema nini unataka

Unavyo biringa bayondo hivyo mi ndo nataka taka sana natakaa

Nini unataka mi nina miujiza nini unataka-

Nikugeuze Princess sema nini unataka

Siamini yaani siamini yamenipanda kichwani mahaba ya kuota sinitimi yamenikoleza mwilini

Siamini ooh siamini yamenipanda kichwani mahaba ya kuota sinitimi yamenikoleza mwilini

Aya chekecha

Chekecha (x11)

Aya chekesha cheketua cheke chekecha cheketua -cheke chekesha cheketua cheke chekesha cheketua cheke

Masia Uluso kitaa Abu Daddy-

—–

Penzi alinipa mama nami leo nakupatia tena sitaki lawama penzi kiapo hakuna-

Mi ntakupenda sana mpaka wivu utakimbia nami ntalia na wewe mimi kwako nyang’a nyang’a nyang’a-

Nini unataka mi nina miujiza nini unataka-

Ama ni maji ya bluelight sema nini unataka-

Nikugeuze Princess sema nini unataka

Unavyo biringa bayondo hivyo mi ndo nataka taka sana natakaa

Nini unataka mi nina miujiza nini unataka-

Nikugeuze Princess sema nini unataka

Siamini yaani siamini yamenipanda kichwani mahaba ya kuota sinitimi yamenikoleza mwilini

Siamini ooh siamini yamenipanda kichwani mahaba ya kuota sinitimi yamenikoleza mwilini

Aya chekecha

Chekecha (x11)

Aya chekesha cheketua cheke chekecha cheketua -cheke chekesha cheketua cheke chekesha cheketua cheke

Yeah uuh cheke chekecha -aah heyiiii-
 
Kavaa usasa ?

Hivi suti na ile kofia zimeanza kuvaliwa mwaka gani?
abou mdogo wangu hawa washamba wameanza kuona suti alipoanza kuzivaa Kiba kwahiyo wanajua suti ni usasa, mdakuzi kawafafanulia weee lkn wapi!!! Hizi ni zaidi ya brn kwakweli
 
Last edited by a moderator:
abou mdogo wangu hawa washamba wameanza kuona suti alipoanza kuzivaa Kiba kwahiyo wanajua suti ni usasa, mdakuzi kawafafanulia weee lkn wapi!!! Hizi ni zaidi ya brn kwakweli

Khaahaaahaa nimeona Mdakuzi kawapa nondo
Lakini wanagwaya kuzielewa

Wanafurahisha sana
Suti zilikuwepo tangu karne zilizopita
Wao wameziona kwa Kiba tu 2015!!
Teh teh jamii forum kuna vioja
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaaa my ribs, eti km mtu kaachwa na treni, na ule mtambaara mfukoni km teja sijui ndio nn, hawayaoni hayo kazi kuhorojoka tu na king wetu, ovyooooooo!!

kitambaa mfukoni kama teja la kinondoni linataka kuiba ile sio video ni muvi ile nana
 
Mhhh!? Huyu binti kapinda sana aisee.. Sijui rangi ya kato itakuaje.
0mmhhh??
 
unafkri yaani mbona video iko poa sana
hizo wanazosifu mi naonaga uchafu kiukweli sizielewagi hata kidogo ila lengo lao ni kudiscourage hadhira ili isipendwe
si watu wazuri timi daimond hata kidogoo

hizo zao nzuri zimechukua tuzo ngapi ??? #Ali saleh kiba :thumbup:
 
Back
Top Bottom