Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,329
- 176,109
mie sijawahi hata kuiona yote mara nyingi naikuta kati tuu..!!
sina mda mchafu wa kuangalia utumbo ule!
washabiki wa daimond wana roho flani hv mbaya waulize video ya nana joti yupo,au hata ronaldo?
kucheza cheza km komborela ndo video kua bora
hawa lengo lao ni kudiscourage ili watu wasiiangalie na viewers wawe wachache u tube thats it...!!!
Waliulizwa ila wakawa wanatapatapa tuuu hata hawajielewi, yaani kwamfano wanamdiscourage nani? Naacha kuusikiliza huu mziki mtamu hivi nikasikilize vitu gani sasa!!