Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,329
- 176,110
Na ndio video of the year tena!! Hahahaaaa hayaaa chekecha cheketuaaaaa
Ha ha ha Matola unaongea nini wewe? Ustake kutetea vitu vya ajabu ajabu kubalini ukweli ile video ali k kaichemka.
anyway inaweza isiwe kosa lake moja kwa moja but ni kosa la director kw sabab yaweza kua kiba alitoa idea nzuri ya video ila director kashindwa kumeet vile viwango vya hiyo idea.
kosa kubwa pia la Kiba labda ni kupokea video na kurealease hata km video haku ipenda hpa ieleweke kwamba sina uhakika km kweli Kiba haku penda ubra wa video.
kama kweli alikua anataka video iwe na materials za kizamani ni sawa kabisa but kwa nini yeye avae suti /mavazi za kisasa? (suti,kofia,jinzi,raba,moka sweta,miwani nk) vyote vile havi muonyeshi katika hali ya uzamani.
kama ni kutaka mandhari ya kizamani cheki video ya "H-art the band wimbo wa nikikutazama" very simple video but ina vutia kuiangalia sana tena sana na ina muonekano bora wa kizamani zamani.
Tukubali ukweli cheketua kachemka labda yaweza kua director kamuangusha ila katika kumbukumbu yangu Kiba hajawahi kufanya video kali hata mwaka mmoja.labda ya mwana kidooogoooo.
Hahahaaaaaa!! Mdakuzi bwana hapo tu ndipo ninapokupendea, ila sasa hivi vichwa vya nazi ni taabu kweli kudeal navyo, yaani wao ni mihemko tuuuuuu, Kiba endelea kunichekechea hawa mburula mpaka waelewe.
Nianze kwa kumuomba Mungu haya maelezo nitakayokupa yasisababishe tukakwazana katika wakati huu wa saumu, coz saumu ni muhimu kuliko yote haya.
Kwa kuwa maelezo yako ni kama yameonesha kuwa unahitaji msaada wa uelewa toka kwetu, basi itakuwa ni aibu kubwa kwa Family kukuacha uondoke bila kukusaidia.
Umeonesha una tatizo la uelewa wa Sanaa ya video za muziki na ina kazi gani kwa jamii. Na pengine maoni yako yamefuata mkumbo au kusukumwa na chuki binafsi.
Na bado umeonesha kutokuwa na ufahamu kuhusu fashion.
Twende Sasa.
Kisa cha video ya Chekecha Cheketua kinaeleza kuwa Kiba ni mgeni kabisa katika mji ule, ndio maana ulioneshwa akiwasili huku akiwa amevunja amri ya ukimya kwa kusikiliza muziki wa Mwana.
Kwanini alivaa suit? Katika kisa cha video hii Kiba ni mgeni mwenye hadhi (daraja) ya juu na ndio maana ulioneshwa alikuwa ameketi kwenye kiti cha nyuma huku akiendeshwa, hivyo muongozaji akamuamuru kuvaa suit ili kuikamilisha hadhi yake.
Unaweza kuona kwa Rais wako hukaa kiti kipi anapokuwa kwenye gari na huvalia vazi gani hata anapokwenda kwenye nchi ya King Mswati ambako wana sheria kale kwamba mabinti bikira wa nchi nzima ni wachumba wa mfalme.
Hivyo Kiba alikuwa huru kwa mavazi bila kuathiri fasihi na kuendelea kuuvaa uhusika wake.
Kuhusu Fashion
Kwa kifupi suit sio vazi la kisasa, coz limeanza kuvaliwa tangu mwishoni mwa karne ya kumi na nane, hivyo mwanzoni tu mwa karne ya kumi na tisa vazi hilo likaanza kusambaa katika nchi tofauti.
Historia inasema vazi hili lilianzia UK, lakini kuna utata kidogo kutokana na jina lake kutoholewa katika lugha ya Kifaransa (suite - following).
Hata blue jeans sio vazi la kisasa kabisa, kwani lilianza tangu kwenye miaka ya 1800 huko na ndio maana Levi's ina miaka 162 tangu kuanzishwa kwake, Lee ina miaka 126 tangu kuanzishwa kwake.
Na kuhusu hizo kofia za mzunguko ndio kitu cha kale zaidi kwani kilianza kuvaliwa kabla ya kuzaliwa Kristo, ila zikaboreshwa zaidi kwenye karne ya 18 na 19.
Hasidi hana sababu!
Ajabu, watu walewale waliokuwa wanaponda video ya Mwana, leo wanasema ni nzuri. Walewale walioponda audio ya Chekecha, leo wanasema audio ila video mbaya.
Jaribuni kuwa na kumbukumbu basi, na hata unapokosoa kitu uje na hoja za kiufundi ili usijichanganye na maoni yako uliyotoa siku za nyuma, vinginevyo utakuwa na chuki binafsi tu.
Sasa kwa sisi mashabiki wa muziki mzuri tutabaki kujiuliza huyu naye kakosewa nini na Kiba? Maana Nassib tunajua anamchukia Kiba kwa sababu alimgongea dada ake (Queen Darleen) then akamtosa. Sasa ninyi wengine kuna kisa gani?
Ova
hahahaha.... walipoona kile kipande cha chekecha japo watu hawakuona video yote wakadai video gani watu wanakata mauno mwanzo mwisho utafikiri vita... leo wameona yote wanasema hawajui kucheza....wengine wanasema oooh video kama ile angeshoot hanscana afu angeweka watu wakatike.... ikabidi niangalie hizo video wanazosema.... mmmmh video chafu kama zile ndo ufananishe na chekecha kweli watanzania wanapenda vitu vibaya.... video zenyewe wanazosifia zimeshootiwa low angel mwanzo mwisho afu chafu.... na hakuna kitu kinachoboa kama kutazama video low angle...watu hawajui hata video production ikoje ila ni kuweka ligi za ubishi... video mbaya... ok tuonyeshe nzuri.... ok wanasema ukiona watu wote wanakusifia basi huna effect name maneno yao ndo yanawaponza manager no sawa name kumuita mtu ------- wakati ni lijari sasa atamtia mimba mkeo na wanao ili kukufunza adabu.... ale chekecha
Kuna tofauti kubwa kati ya Challenge na roho ya kwanini!
Unachallenge kila kitu?.Unaponda tuu, unakashifu, unasiliba, unakosoa!
Hivi hujioni kuwa una matatizo?
Mpaka mnajiapiza kuwa Kiba hawezi, hawezi!
Mxiiu.....
There is a thin line between love and hate.
Nawaona watu wapo obsessed na mampungufu ya kiba mwanzo mwisho.
Video nzuri sana ina viwango vya kimataifa .
Nianze kwa kumuomba Mungu haya maelezo nitakayokupa yasisababishe tukakwazana katika wakati huu wa saumu, coz saumu ni muhimu kuliko yote haya.
Kwa kuwa maelezo yako ni kama yameonesha kuwa unahitaji msaada wa uelewa toka kwetu, basi itakuwa ni aibu kubwa kwa Family kukuacha uondoke bila kukusaidia.
Umeonesha una tatizo la uelewa wa Sanaa ya video za muziki na ina kazi gani kwa jamii. Na pengine maoni yako yamefuata mkumbo au kusukumwa na chuki binafsi.
Na bado umeonesha kutokuwa na ufahamu kuhusu fashion.
Twende Sasa.
Kisa cha video ya Chekecha Cheketua kinaeleza kuwa Kiba ni mgeni kabisa katika mji ule, ndio maana ulioneshwa akiwasili huku akiwa amevunja amri ya ukimya kwa kusikiliza muziki wa Mwana.
Kwanini alivaa suit? Katika kisa cha video hii Kiba ni mgeni mwenye hadhi (daraja) ya juu na ndio maana ulioneshwa alikuwa ameketi kwenye kiti cha nyuma huku akiendeshwa, hivyo muongozaji akamuamuru kuvaa suit ili kuikamilisha hadhi yake.
Unaweza kuona kwa Rais wako hukaa kiti kipi anapokuwa kwenye gari na huvalia vazi gani hata anapokwenda kwenye nchi ya King Mswati ambako wana sheria kale kwamba mabinti bikira wa nchi nzima ni wachumba wa mfalme.
Hivyo Kiba alikuwa huru kwa mavazi bila kuathiri fasihi na kuendelea kuuvaa uhusika wake.
Kuhusu Fashion
Kwa kifupi suit sio vazi la kisasa, coz limeanza kuvaliwa tangu mwishoni mwa karne ya kumi na nane, hivyo mwanzoni tu mwa karne ya kumi na tisa vazi hilo likaanza kusambaa katika nchi tofauti.
Historia inasema vazi hili lilianzia UK, lakini kuna utata kidogo kutokana na jina lake kutoholewa katika lugha ya Kifaransa (suite - following).
Hata blue jeans sio vazi la kisasa kabisa, kwani lilianza tangu kwenye miaka ya 1800 huko na ndio maana Levi's ina miaka 162 tangu kuanzishwa kwake, Lee ina miaka 126 tangu kuanzishwa kwake.
Na kuhusu hizo kofia za mzunguko ndio kitu cha kale zaidi kwani kilianza kuvaliwa kabla ya kuzaliwa Kristo, ila zikaboreshwa zaidi kwenye karne ya 18 na 19.
Hasidi hana sababu!
Ajabu, watu walewale waliokuwa wanaponda video ya Mwana, leo wanasema ni nzuri. Walewale walioponda audio ya Chekecha, leo wanasema audio ila video mbaya.
Jaribuni kuwa na kumbukumbu basi, na hata unapokosoa kitu uje na hoja za kiufundi ili usijichanganye na maoni yako uliyotoa siku za nyuma, vinginevyo utakuwa na chuki binafsi tu.
Sasa kwa sisi mashabiki wa muziki mzuri tutabaki kujiuliza huyu naye kakosewa nini na Kiba? Maana Nassib tunajua anamchukia Kiba kwa sababu alimgongea dada ake (Queen Darleen) then akamtosa. Sasa ninyi wengine kuna kisa gani?
Ova
mi nimegundua kitu kia washabiki wa daimond ni watu wenye roho mbaya,wanafki na waswahili mnooo
hizo video wanazosifia za daimond zina uzuri gani vile mtu anakimbia kimbia km kaachwa na treni
team mondi wako hivi wanapenda wasifie wao tu hata km vibovu
na lengo wanaiponda ili isiangaliwe na ipate viewers wachache u tube
siku zote wapo kifitna zaidi ndo maana siwafagilii siku hizi nshawajua ni wanafki na wakaanga sumu
yaani mi nashindwa hata kuwaelewa hawa watu
yaani mi nashindwa hata kuwaelewa hawa watu
Hahahaaaaaa my ribs, eti km mtu kaachwa na treni, na ule mtambaara mfukoni km teja sijui ndio nn, hawayaoni hayo kazi kuhorojoka tu na king wetu, ovyooooooo!!
hawajielewi hao. chekecha bonge la video.
unafkri yaani mbona video iko poa sana
hizo wanazosifu mi naonaga uchafu kiukweli sizielewagi hata kidogo ila lengo lao ni kudiscourage hadhira ili isipendwe
si watu wazuri timi daimond hata kidogoo
Basi baasii, chukua glass ya maji basi tuliza koo.
Hahahaaaaaa my ribs, eti km mtu kaachwa na treni, na ule mtambaara mfukoni km teja sijui ndio nn, hawayaoni hayo kazi kuhorojoka tu na king wetu, ovyooooooo!!
Na ile style ya kurusha vibega kama kuku mwenye mdondo!
Style zake za kucheza very familiar...video zake very presictable.
Jamaniii mniwacheeee acheni niwe wa tofautiii