Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,332
- 176,111
Hujazoea wapi mtoto wa tandale wewe roho kama avatar yako. Eti hujazoea uswazi na kutwa kucha kwa jirani kujua nini kinaendeelea huku.
Hahahaaaa, umemaliza
Hujazoea wapi mtoto wa tandale wewe roho kama avatar yako. Eti hujazoea uswazi na kutwa kucha kwa jirani kujua nini kinaendeelea huku.
Muulize mwenzako sharcole ndio kasema kiba atachaguliwa tuzo zz chanel O 2015 wakat kituo cha chanel o sahv kimekua local Tv SA kwaio Diamond ndio mtu wa mwisho kuzo tuzo nyingi Chanel O na Cassper Nyovest tumefunga hvo Tz na tuzo hazipo teeeena.
Am very okey, sijui weye maana umepotea kweli
#chekechavideoontheway
Cku njema. Ngoja nitak a break kdogo.
Hahaahaaa!..mkuu hapo kweli LIMAO zitawahusu kule sio siri na kwa hakika hiki kichupa lazima kitamchora KINGKIBA kwenye ramani za MTV & AFRIMAMA huko.
dada kutafuta ela huku. niko poa kabisa. naisubiri sana hiyo
Tafuta mwaya tuondokane na huu umasikini waliotukaba nao koo hawa mapupu, hii video huwezi amini ni most awaited video watu wanaingoja kwa hamuuu waanze kufungua nyuzi mia mia, hahaaaaa km nawaona washaandika script zao wanangoja kukosoa tu.

Ulimchora mwenzio.
Kakasirika
Yaani bora wewe mpagani umefuta huo utumbo wako boya wewe, kweli nimeamini huu uzi unafuatiliwa ni km chakula kwa watu wengi mnooo, wengine mpaka wanajikuta washajikurupua humu alafu wanajistukia wenyewe
wanapenda ushabiki wakijinga ka le mutuz et wameanzisha uzi davido kapitwa viewers you tube na diamond sasa we unaona ni akili hizoo au matope # monday from mejialabi
Upo siku mbaya wewe mbona una mdomo mchafu hvo pole bwana ila ndo maumbile yako naona unapenda sana uitwe mwanaume ndo basi tena.
Ok nimekusoma @Ms Lincoln lakni angesema tatzo ni nini sio kuja kututukana mana na mi ningekua najibu matuc yake ingekua balaa. Cwez naheshimu mwanamke yoyote challenges zipo za hapa na pale lkn cwez mtusi
Ndo kukosa kazi huko unaweza kukuta watu wachache wana I view kila sasa. Je yule mkorea aliye vunja record ya kuwa na viewers billion moja kwahyo ni bora kuliko wasanii wengine.
Tatizo wanafanya kila kitu kwa mashindano huyo domo kwa Davido atasubiri sana si kielimu wala mkwaja wala family level na background yake. Aiendelee kujidaganya. Davido made him famous.