blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 13,385
- 16,703
Last edited by a moderator:
Alli Kiba ni moja kati ya wanamuziki ambao ni adimu sana na haifai kuwapoteza.
Kila nikisikiliza nyimbo zake huwa nanotice kitu chenye akili sana.
Utumiaji wa fasihi unaonesha kwamba hatungi nyimbo kwa kukurupuka tu kurembesha ili mradi watu wacheze tu kufurahia midundo bali hutunga nyimbo kutoka moyoni kabisa kwa akili na kile akiaminicho. Ni mmoja kati ya wasanii unique ambao hawafanyi muziki kimazoea au kusukumwa na aina ya styles ambazo zinafanywa na wengi. .
Kudos King Kiba
Atunge toka kwenye maini kabisa, mwisho wa cku anakufa maskini
Ally Kiba anajua kutiririka na maneno na kuchombeza vionjo pasi na kupoteza maana.
Mfano:
Siamini siamini yamenipanda kichwani
Mahaba yako tasiliti mi yamenikoleza mwilini.
Siaminiiiii(anavuta na long i) siamini
yamenipanda kichwani
Mahaba yako tasiliti mi yamenikoleza mwilini
Haya chekecha chekecha (nyongesha) chekecha chekecha
Haya chekecha cheketua chekecha chekecha cheketua ( )
peterchoka wale teammondi wanaboa sana ila kuwa ignore ndo best way iliyobaki
Ally Kiba anajua kutiririka na maneno na kuchombeza vionjo pasi na kupoteza maana.
Mfano:
Siamini siamini yamenipanda kichwani
Mahaba yako tasiliti mi yamenikoleza mwilini.
Siaminiiiii(anavuta na long i) siamini
yamenipanda kichwani
Mahaba yako tasiliti mi yamenikoleza mwilini
Haya chekecha chekecha (nyongesha) chekecha chekecha
Haya chekecha cheketua chekecha chekecha cheketua ( )
Acha tuwape nakoz ukiwaignore wanakupanda kichwani.
Alaf mnajua nimenotice kitu hapa yaani kuna page kama tisa kumi hivi tunamzungumzia Domo, hii inampandisha domo kana kwamba cc hatuna cha kumzungumzia our King. Au mnaonaje wakuu kwani bila kutaja Domo humu kijiwe hakiendi?

tatizo wanapenda kushinda humu kule kwao hakuna jipya
Na lengo la kushinda si mnalijua? Ili tu kuvuruga hali ya hewa na muwaongelee
[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=chekechavideovibes]#chekechavideovibes [/URL]
Jamani Kiba ni kipaji kisichotakiwa kupotea kabisaaa
#mapenziyanarundunia
hahahaha ila wanaboa sana
Ally Kiba anajua kutiririka na maneno na kuchombeza vionjo pasi na kupoteza maana.
Mfano:
Siamini siamini yamenipanda kichwani
Mahaba yako tasiliti mi yamenikoleza mwilini.
Siaminiiiii(anavuta na long i) siamini
yamenipanda kichwani
Mahaba yako tasiliti mi yamenikoleza mwilini
Haya chekecha chekecha (nyongesha) chekecha chekecha
Haya chekecha cheketua chekecha chekecha cheketua ( )
Wale mioyo yao imetuzimia ndio maana kila siku lazima waje watusalimie hahaha!! Salam zimfikie kende a.k.a kendrik na mchimvi mswazi mwenzie, beseni pana a.k.a banseni bana haaaahaaa!