Nipo pwilo lete mpya
We una utani na wasabato eeeh!!! Ngoja nimuite Eli79 athibitishe hilo,Acha kukariri basi inaitwa experience the difference, au na ww ushatengeneza script mama? Teh teh tehWawasiliane kwanza sio kutuanziashia tuuu manyuzi rundo alafu hayana mantiki[/QUOTE atoto wajus mitaa hii sio mwenyeji Sana eeh! Wasabato tumefanyaje tena Jamani!!
Why unamleta humu!! Utaniharibia mood, kupanik kawaida yao ye na vibaraka wake
#chekechavideovibes cant wait mie
Hahahha basi basi mtaa wa pili watakopi bana
Umemmiss wakati pesa alizokuhonga ndizo unatambia hapa
Na kulidiscuss pia hahah mie walaaa sina habare nao. Wale wamezidi sana uchokozi siku hizi.
kashapaniki tayari domo angalia hapa ndo mchezo wake huo #kebekebe
Hahahaaaa sio of the century! (msinune jamani, andaeni script tu)
Nasikiliza wimbo wa "nichum" nikakumbuka mbali sn maana nilikuwaga naupenda huu wimbo hatari hadi roomate zangu wakawa wananiita nichum, nilikuwa naupiga repeat kuanzia asubuhi hadi jioni, duuuh Kiba anajua kuniweza
Heheh dude itakula kwake.
Chekecha ndio video ya watu inayosubiriwa kwa hamu.
Hata kama ikiwa mbaya (just in case ni kwa mfano tu) lazima itamzima tu or else asubirie youtube viewers wake wakiintaneshno!