Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Jirani zetu kwao hawapendi kukaa kutwa kuzurura huku alafu wanatokwa povu balaaaa

Si unajua mapenzi yakizidi unashindwa namna hata ya kuyaonyesha waweza jikuta unaharibu, wanampenda sn king ujue, hv unaanzaje kumchukia king?!!! Lazima uwe na matatizo
 
Si unajua mapenzi yakizidi unashindwa namna hata ya kuyaonyesha waweza jikuta unaharibu, wanampenda sn king ujue, hv unaanzaje kumchukia king?!!! Lazima uwe na matatizo

Chekecha live ndani ya Trace on monday.

#Rockstar4000 presents
 
Attachments

  • IMG-20150627-WA0011.jpg
    IMG-20150627-WA0011.jpg
    22.3 KB · Views: 72
Jana nilisema Mimi kuna mtu sasa hivi ataanza "should I drop this one? " cjui n
"Nifumue na hii ? " khaakhaa tayar kaanza
 
Back
Top Bottom