Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Wanaweweseka hao
naona kichupa kipo njiani
Wanaweweseka hao
Aiiiiii #chekechavideovibes , mambo si ndio hayo chacha wapi Ms.Lincoln?
Natabiri kufunguliwa nyuzi zaidi ya mia kujadili video hii bora ya mwaka!
Kujambajamba na kujikojolea kwa watani wetu,
Kudiss na kukubali kimoyomoyo kw watani wetu.
Ila yote zaidi ya yote jeee, Yaliyomo yamooo!
Maana kwa mahadhi ya wimbo mauno ya haja yalipaswa yashushwe sio kwa skirt zile za kisabato na suti.
We una utani na wasabato eeeh!!! Ngoja nimuite Eli79 athibitishe hilo,
Acha kukariri basi inaitwa experience the difference, au na ww ushatengeneza script mama? Teh teh teh
Wawasiliane kwanza sio kutuanziashia tuuu manyuzi rundo alafu hayana mantiki
Sasa kutengeneza script hakukwepeki hususani video inapocheleweshwa kama mfano wa magari ya kwenda mwendo kasi...
Lazima tu utavuta picha aisee.
Naipenda ile skirt aisee
Sasa kutengeneza script hakukwepeki hususani video inapocheleweshwa kama mfano wa magari ya kwenda mwendo kasi...
Lazima tu utavuta picha aisee.
Naipenda ile skirt aisee
Teh teh teh, haya hebu tupia script yako unataka iweje? Skirt si umesema ya kisabato jamani ama?
Hapanaa
Nangoja video
usijali Ms.Lincoln nitakununulia
matholoso gitaaa abuu dady (in kiba voice ) napenda sana hiii sehemu kiba anavyoitaja #kebekebe
matholoso gitaaa abuu dady (in kiba voice ) napenda sana hiii sehemu kiba anavyoitaja #kebekebe
kashapaniki tayari domo angalia hapa ndo mchezo wake huo #kebekebe