Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Wahamie marekani bhana...
Wanigeria tumeshawachoka sasa...

hiyo project sio ya sasa najuwa sahivi ni zamu ya SA na mafikizolo baada ya hapo ndio mbele, kwa mwakani tunaanza na psquare, aka, wizkid na kuendelea
 
Wao wame create image kuwa mashabiki wa Kiba ni rejected,wauzaji na blah blah nyingi hadi kupewa majina mbalimbali. Wee jiunge tu na zoom ukimaliza u join the Kilimanjaro institute of Technology.
Wao wakiona mtu JF sijui wanamchukuliaje wasijue yaliyomo yamo.

Hahahaaaa nitajoin pale Kilimanjaro kwa ajili ya diploma.

Alafu wanaotuambia turudi shule wawe wanatupa na ada kabisa. Lol
 
MTV mama Diamondplatnumz & vanessa

⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇

MAMA 2015
MAMA 2015
MAMA 2015
MAMA 2015

⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆
link hiyoooooooooooo... #wasaaaaaaafi

vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote
 
Attachments

  • 1435268947501.jpg
    1435268947501.jpg
    40 KB · Views: 88
Last edited by a moderator:
MTV mama Diamondplatnumz (best male, live, collaboration) & vanessa (best female)

⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇

MAMA 2015
MAMA 2015
MAMA 2015
MAMA 2015

⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆
link hiyoooooooooooo... #wasaaaaaaafi

___________________________________
Hakikisha unapiga kwa kutumia browser, na lazima kusign in kwa Facebook, twitter, or email... Kila kipengele 20 votes kila siku, kwa waliojiunga na email, au twitter wanapiga bila kikomo...

vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote
 
Wanaonitaka ni wengi ila mimi kwako nyang'anyang'a aaaaaaaah pamoja wadau tufanye kuhusika basiiii MTV mama Diamondplatnumz (best male, live, collaboration) & vanessa (best female)

⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇

MAMA 2015
MAMA 2015
MAMA 2015
MAMA 2015

⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆
link hiyoooooooooooo... #wasaaaaaaafi

______________________________________________

Asante sana kwa kunisogezea link karibu ni mwendo wa ku vote tuu.
Tena sasa ivi na base kwenye kipengele cha best live maana najua ndo mnachokitegemea.
Vote for flavour, davido, vannesa
 
Attachments

  • 1435294348230.jpg
    1435294348230.jpg
    25.8 KB · Views: 80
Wakuu kwa habari zilizoenea ni kuwa Allikiba atakuwa nominee wa Tuzo za Channel O 2014/2015 katika category 1, kama nyota anayechipukia Africa.

Hii ni kutokana na msanii huyo kufanya vizuri katika tuzo za ndani pamoja na wimbo wake kuwa umeingia kwenye top 10 za channel 0 ( 20 bangs) kwa muda wa week 3.

#Rockstar4000 , Nimewasilisha.
 
Wakuu kwa habari zilizoenea ni kuwa Allikiba atakuwa nominee wa Tuzo za Channel O 2014/2015 katika category 1, kama nyota anayechipukia Africa.

Huyu si mkongwe hadi ameota Sugu

Anayechipukia tena?

Mwambieni Ajenge Nyumba kwanza sio kuishi kwa huruma za wanawake

Huyo mwanamuziki wenu ana umaarufu ambao hauko translated kwenye pesa.....ana faida gani na huo usanii>
 
Inakuaje management ya Ali kiba inauza nyimbo za diamond iTunes :what:
 
Attachments

  • 1435299138711.jpg
    1435299138711.jpg
    33.8 KB · Views: 74
Back
Top Bottom