Hahahaaaaa kuna code. Zetu wenyewe twazitumia kuelewana loh! Au Waarabu wa Pemba hujuana kwa vilemba.
Kila kitu kimeshikiliwa na menejiment, hivyo kukutana nae inabidi kiba atume maombi maalumu na atapangiwa tarehe kulingana na ratiba ya Diamond.
Hahahaaaaa kuna code. Zetu wenyewe twazitumia kuelewana loh! Au Waarabu wa Pemba hujuana kwa vilemba.
Unachoongea ni kweli mkuu pia binafsi naona kama Kiba hayuko tayari kwa ushindani pamoja backup kubwa ya mashabiki.Ila sema ukweli mi ream kiba,but tukubali kila mtu ana wakati wake,na wakati ukiahapita huwezi kulazimisha,enzi za Mr nice siyo sasa ndo maana mambo yamemkataa,kina AY wa siku nyingi nao mambo yamegoma,kila mtu ametesa kwa wakati wake,kiba kufukuzana na diamond ni ngumu sana na kitu kinachofanya asumbue ana back up kubwa ila bado,nadhani Rich Mavoko akijitahidi akawa na menejimenti nzuri atasikika kimataifa hata kuliko kiba
Ndio kina nani hawa?
Kiba yupo kwao bwana south kafata nini wakati hela ya vid haijakamilika....:spy:
Kiba ni balaa jana kwenye daladala alikua anazunguka jijini alijisifu yeye ni mkali sana na kumlinganisha na diamond ni kumdhalilisha labda diamond ni level ya mwanafunzi wake abdu kiba, na akasema akiamua kuimba style za ki nigeria kama diamond atatikisa dunia nzima bali anadhamini mziki wa kitanzania.
Ni tukio la kihistoria baada ya mahasimu wawili kutokuwa na maelewano mazuri kwenye kazi ya music sasa wakutana! Tusubiri collabo
![]()
Ha ha ha kweli king yupo kwao, Mariana kamtimua kwenye nyumba yakeHivi ni kweli amefukuzwa nyumba aliyopanga na sasa karudi kariakoo kwa mama yake?
usinifanyie hivyo atoto Diva Beyonce cute b peterchoka nawaomba mpige kura kwa hisani ya watu wa nigeria #aidan #singboy pop it in nawategemea msiniangushe nifah popote ulipo endelea kupiga kura mic u