Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Oh no, Mi baada ya kuona uwanja umechafuka na kunuka damu nikaacha busara zangu kwa geniveros na Ms.Lincoln yule sis mwingine (nimemsahau jina) nikaona ndo kachafukwa balaa ndimu haifanyi kazi..!! kucheck kwako nkaona kimya nikajua umeelewa hivyo sikukushitua... maweee kumbe wenyewe washakukimbiza Segerea..!! Narudi siku ya pili na ya tatu nauta kimyaaa.. nikawanajitokea hivi kinyoooonge....

Ooh kumbe nifah yuko macca? duh halafu nasikia wao huwa hawaombei, ningeomba aniombee na mimi..!! Angalia momiee nawe usijeenda kule.. hali itakuwa mbaya hapa..!! Miss u too wane..!!

BACK TANGANYIKA

Ha ha ha!
Tupogo na roho za paka hapa.
Roho ngumu kama mwamba wa chuma.
 
Last edited by a moderator:
hahahahahhahahahahaha....Mkuu....Lazima ma celeburity wetu wanufaike na kazi zao

Huyu ni MFALME......

Lazima ninyi mashabiki wake mhakikishe MFALME wenu anapata mafanikio kutokana na kazi zake

Sio kulazimisha umaarufu wa kizoba...hana hata hela

Au mchangieni ajenge nyumba

Mna uhakika gani kwamba hiyo taarifa niya kweli
 
Ha ha ha!
Tupogo na roho za paka hapa.
Roho ngumu kama mwamba wa chuma.

Hahahahah... wewe Mwanamke ni maji ya bahari ya kina kirefu tena pale Chungwi, Nungwi sijui kundwi.. ilipozama ile Meli iliyopakia watu 3000 wakati uwezo wake ni kupakia watu 300..!!! kule Zenji. Mi sikuwezi aiseee

But milikuwa napita, nafurahi kuona umzima tena upogo kama gogo la mninga. Ngoja nifike home kidogo ntarudi baadaye..!!

BACK TANGANYIKA
 
Oh no, Mi baada ya kuona uwanja umechafuka na kunuka damu nikaacha busara zangu kwa geniveros na Ms.Lincoln yule sis mwingine (nimemsahau jina) nikaona ndo kachafukwa balaa ndimu haifanyi kazi..!! kucheck kwako nkaona kimya nikajua umeelewa hivyo sikukushitua... maweee kumbe wenyewe washakukimbiza Segerea..!! Narudi siku ya pili na ya tatu nauta kimyaaa.. nikawanajitokea hivi kinyoooonge....

Ooh kumbe nifah yuko macca? duh halafu nasikia wao huwa hawaombei, ningeomba aniombee na mimi..!! Angalia momiee nawe usijeenda kule.. hali itakuwa mbaya hapa..!! Miss u too wane..!!

BACK TANGANYIKA

Daaah ile siku ilikuwa hatareeeeee kuna mtu nilimlabulia maneno duuh si nikajua ata kausha nikakaa nasoma ule mparangano kukaa kidogo nataka ni comment nakutana na kitu ban.
Nikasema basi tena nikalog out nikaanga kuangalia watu wanavyotoana nyongo kidogo na hao naona wamepelekwa segerea nikarudi kwa mrembo by nature nikaangalia mparangano wake na jamaa mmoja ivi kidogo nao wakapelekwa basi nikajua na wew walikupeleka aisee ila mimi nilirudi mapema sana Namshukuru Mungu.
Sasa ivi adabu debe nilipui watu kwenye izi nyuzi ila mtu akija jukwaa la wakubwa akinizoea namlipulia kule.
 
Last edited by a moderator:

Attachments

  • 1435314931437.jpg
    1435314931437.jpg
    21.8 KB · Views: 73
Times FM wametoa namba ya kumchangia king Kiba wameweka kwenye website yao,ntaiweka mda is mrefu,tumpe sapoti king wetu angalau apate sehemu ya kujihifadhi mda huu,kutoa ni moyo wakuu chochote kile Mungu atawabariki.

"NO PROOF...CAN'T BELIEVE "...

Wewe embu leta fasta ushahidi wa sauti au video au link iyo ya Times FM wakiwa wametoa namba ya kumchangia kiba hapa,muache FOOLISH RUMOURS kama izo,maana ata kwenye ule uzi wenu mnaosema kiba kafukuzwa hamna ushahidi isipokuwa mnabwatuka tu na mleta post wenu kule ameweka eti picha ya nje ya ile nyumba...sasa kuna asiyoijua iyo nyumba kwani?,maana picha za iyo nyumba zimeenea sana mitandaoni ata Millard ayo anazo nyingi tu.

Sikillizeni nyie wazushi mnavyoona TEAMKIBA hawaji kule mnahisi wameikubali iyo taarifa siyo?? Ukweli ni kwamba mtu hawezi kuja kwenye Uzi wa kuzusha na kucomment utumbo kama nyinyi...sisi tulitegemea mlete picha za kutosha zikionyesha kiba ametolewa vitu vyake nje ya iyo nyumba,na tuzo zake zikiwa kwenye maliboro kama mnavyospaculate ili watu waamini lakini nyie mnaleta habari hewa bila kuonyesha uhusika wa kiba alafu mnashupalia hadi mishipa ya makalio imewatuna,

eti Ooh!..mbona hawaji uku,nyie mnafikiri watu wanamuda wa kupoteza kuargue UPUMBAVU KAMA NYIE??
 
Pionaire

Kweli mkuu tuwaache tusiwajibu team kiba maskani yetu ni hii hapa nyie huko kwingine waacheni wajibizane wenyewe hiii ndo maskani yetu ya kufurahi Pionaire #team kiba 4 really
 
Last edited by a moderator:
wameanzisha thread za kiba kila kona wanadhani huku ni insta et tuwajibu ili ujue wale hawajielewi kwa nn wasianzishe thread ya kumchangia baba yake domo c yupo hoi anaumwa mtoto wake anatanua na bibi yake mwenyewe anasema ni demu #team kiba
 
King without a mansion dadadeki

ANY PROOF PLEAZ???,Maana nyie ni mabingwa wa rumours maana najua iyo habari kiba ameiongelea kule bongo5 na ameikanusha na amesema yupo na familia yake kwenye iyo nyumba hadi sasa,na nashindwa kuelewa nyie mnatoa wapi izo speculations zenu,na angekuwa Mondi kaletewa habari kama hio mngesema ni uongo hadi ushahidi...sasa mnazalimisha vipi sisi kuamini maneno tupu juu ya kiba???
 
Halafu nilitembelea insta nilikuta uyo meneja wa Mondi wanamwita salam kwenye ukurasa wake watu wamemlipua kuhusu ishu ya ROCKSTAR4000 KUIBA NYIMBO YA MONDI maana Hajiheshimu nahii inaonyesha anapenda bifu liendelee kati ya kiba na Mondi, maana kulikua na sababu gani ya kusema management ya alikiba?..

Kwani Rockstar4000 ina mmanage kiba peke yake??...Na ni kwanini amuhusishe msanii mmoja na ishu ya kampuni kama sio kumchafulia kiba tuUu??
Pia kama ni kweli mondi ameibiwa yeye si aende mahakamani sasa kulialia insta ndo haki itapatikana??...

Pia kama ni kweli ilitakiwa kusema "ROCKSTAR4000 WAMEIBA NYIMBO YA MONDI MAANA NI MY.NO 1 REMIX TU NDO IMEONEKANA iTUNES NA SIO KAMA ANAVYOSEMA ETI NYIMBO ZA MONDI... NGAPI?...NA NI ZIPI?

ASITAKE KUMPA TITLE KUBWA MSANII WAKE"...Alafu kuna timu mondi hwana akili kabisa eti wanacomment kule alikiba afungwe,Hahaahaaa...maana ata kama wanamchukia kiba sio kiivyo jamani coz ROCKSTAR4000 ina manage wasanii wengi kama redsun na wyre...je wote wafungue???
 
Baada ya M-Net kutangaza kuwa itakifunga kituo cha Maisha Magic
mwishoni mwa mwezi May mwaka huu, kuna ripoti kuwa kampuni
hiyo ya Afrika Kusini imetangaza kusitisha kurusha matangazo ya kituo
chake kingine maarufu cha muziki Channel O Africa kupitia DStv
Channel 320 na GOtv channel 70.
Taarifa iliyoripotiwa na baadhi ya mitandao ya Afrika ni kuwa uongozi
wa M-Net umepanga kukifunga kituo cha Channel O Africa wiki mbili
zijazo, March 31, 2015 ikiwa ni miaka 23 toka kianzishwe. Vyanzo vimeueleza mtandao wa Pulse kuwa M-Net imefikia uamuzi
huo ili kuendeleza mpango wake wa uwekezaji zaidi katika
kutengeneza maudhui ya ndani (local content). M-Net itaanzisha vipindi vya muziki kupitia Afrika Magic World (GOtv
channel 10 and DStv channel 155), huku Channl O ikiendelea
kuonekana Afrika kusini pekee kama ‘local channel’. Kutokana na uamuzi wa kukifunga kituo hicho ina maana kwamba
hakutakuwa tena na tuzo za Channel O! “To further entrench our commitment to content localisation, on 31
March 2015, Channel O Africa will stop airing on DStvchannel 320 and
GOtv channel 70. This will allow M-Net to invest further in content
according to regional preferences on its existing Africa Magic brands,
however Africa’s music talent will get ample space to shine on special
programmes on these channels. “This change is a further boost in M-Net’s investment in the creative
television industry and will ensure that M-Net and Africa Magic remain
at the forefront of African television trends and the biggest investor in
original content made in Africa for Africa. “M-Net will establish music blocs on Africa Magic World (GOtv channel
10 and DStv channel 155) where subscribers will be able to catch their
favourite local music talent and videos. Music lovers can also continue
to enjoy various local and international music genres on our other
music channels on the DStv platform: MTV Base, Trace Urban, Afro Music
Pop, Sound City, B4U Music and One Gospel and on the GOtv platform: MTV Base and One Gospel,”.
Source: Pulse
 
We jamaa Pionaire mnafiki kinoma, wanaume wenzako hatupo hivyo
 
Last edited by a moderator:
alafu nilitembelea insta nilikuta uyo meneja wa Mondi wanamwita salam kwenye ukurasa wake watu wamemlipua kuhusu ishu ya ROCKSTAR4000 KUIBA NYIMBO YA MONDI maana Hajiheshimu nahii inaonyesha anapenda bifu liendelee kati ya kiba na Mondi, maana kulikua na sababu gani ya kusema management ya alikiba?..kwani rockstar4000 ina mmanage kiba peke yake??...na ni kwanini amuhusishe msanii mmoja na ishu ya kampuni kama sio kumchafulia kiba tuUu???
+Mkuu huko insta ulitembelea kweli au ulisimuliwa, ni wapi Salam alisema management ya alikiba wapi Kiba katajwa kwenye post ya meneja:what:
+Halafu mkuu unaongea kwa uchungu, teh teh pole sana hamna namna ndo ishakua ivo

1435321424639.jpg
 
Imetolewa na vyombo vya habari ambavyo hua vinatoa habari zingine zote ....na yeye amenukuliwa akikiri

Acha uzushi wewe...niletee sasaivi fasta ushahidi wa sauti au video zikionyesha kiba amekiri kufukuzwa???,wakati amekanusha izo taarifa kule bongo5 na amesema "anashangaa uzushi unaozagaa eti amefukuzwa wakati bado yupo na familia yake kwenye iyo nyumba",ila Mimi nachojua tu kiba ile nyumba amepanga sio yake.
 
Acha uzushi wewe...niletee sasaivi fasta ushahidi wa sauti au video zikionyesha kiba amekiri kufukuzwa???,wakati amekanusha izo taarifa kule bongo5 na amesema "anashangaa uzushi unaozagaa eti amefukuzwa wakati bado yupo na familia yake kwenye iyo nyumba",ila Mimi nachojua tu kiba ile nyumba amepanga sio yake.

Hhahahaahahahah

Eti video na Audio

Nenda kawaulize Global.....kwani mie ni gazeti?
 
+teh teh 😀😀 kauzi cha kujifariji haka,

+kumbe watu mnaponda mond kuwa nominated tuzo za kimataifa wakati nyie hako kanafasi mnakaona lulu!
 
Back
Top Bottom