Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Jamani kuna watu wanonkho sijapata ona.
Eti tumegeuza uzi group la whatsup....
Kweli watu wanatuonea wivu sana yaan adi wana tetaa na bado najua mnapita apa kwa taarifa yenu apa ni nyumbani.

Hayo maneno ya mkosaji tu tushayazoea kabisa. Na wao wageuze Uzi wao uwe ka whatsap.
Usokorokwinyokolo unawasumbua hao kuhangaika na yasiyo waweza.
 
Jamani kuna watu wanonkho sijapata ona.
Eti tumegeuza uzi group la whatsup....
Kweli watu wanatuonea wivu sana yaan adi wana tetaa na bado najua mnapita apa kwa taarifa yenu apa ni nyumbani.

Wao inawauma nn hata ingekuwa group la wassap!!! Hayo ni marudio tu mbona walishasema sn mpaka nao wakaiga ila wakaangukia pua, wivu tu huo, waje nao tuwaunganishe basi!!! Kumbe ndio maana hawakauki humu wanatamaniiii ila ndio vile tena, this is the family in case they ddnt knew!!!
 
Hayo maneno ya mkosaji tu tushayazoea kabisa. Na wao wageuze Uzi wao uwe ka whatsap.
Usokorokwinyokolo unawasumbua hao kuhangaika na yasiyo waweza.

Nimeamini wasipopita humu lazima waumwe, yaani kila tufanyalo linawauma jamani!!! Mbona kazi wanazo, na watakufa macho wazi
 
Huyo mbulula naye alijiona kaandika point eti anatukomesha haters wa domo kumbe mpuuzi tu ka wapuuzi wengine.

Hahaaaa Avemaria nishaanza mbona dia education is sex. Zoom siendi hata kwa dawa chuo za wamama wa nyumbani,na waliopata division five na beki three.
Bora hata cha Magogoni mweeeh.

Heheh kwani mashabiki wa Kiba mnasomaga nyie? Teh! Teh! Ngoja mie niende zoom mama nikapate walau kacheti!

Like seriously....watu wanatuona humu tunafanya yetu wanadhani tupo empty vichwani eeeh pole yao. Tena pole yao haswaaa
 
Last edited by a moderator:

Wao wame create image kuwa mashabiki wa Kiba ni rejected,wauzaji na blah blah nyingi hadi kupewa majina mbalimbali. Wee jiunge tu na zoom ukimaliza u join the Kilimanjaro institute of Technology.
Wao wakiona mtu JF sijui wanamchukuliaje wasijue yaliyomo yamo.
 
Nimeamini wasipopita humu lazima waumwe, yaani kila tufanyalo linawauma jamani!!! Mbona kazi wanazo, na watakufa macho wazi

Dah wasipite huku wana kichaa. Kupita huku ni must yani. Nashangaa Kiba asiye na kitu anawasumbua kah ni shiiiider tupu.
 
Mashankupe hapa lazima mpite tuuu!
Mlivo mapashkuna mnaenda kuteta mbaliii.. cute b una moyo kwenda kwenye uzi ulododa kama chiu ya mchawi.
 
Last edited by a moderator:
Kiba ni balaa jana kwenye daladala alikua anazunguka jijini alijisifu yeye ni mkali sana na kumlinganisha na diamond ni kumdhalilisha labda diamond ni level ya mwanafunzi wake abdu kiba, na akasema akiamua kuimba style za ki nigeria kama diamond atatikisa dunia nzima bali anadhamini mziki wa kitanzania.

Tehteh wonders shall never end!!! Kwa hyo yy hana shda ya kutikisa dunia?????? Ru guys 4real??????
 
Naona mnatamani ingekuwa kweli, lakini KingKiba hana muda kwa sasa labda mmuweke booking huenda mkafikiriwa mkutane hata na abdu kiba sababu king yupo bize na collabo na wikzd.

Ndege wa rangi moja wanapokutana manager wa wizkid na manager wa diamond wakicheza ngololo hahahahaha hatari sana huyu ndio salaam bwana.... Kituuuuu kimeshapikwa hapo #kudadeki
 
Attachments

  • 1435259839651.jpg
    1435259839651.jpg
    19.1 KB · Views: 298
Viol anatoka na mtu mmoja huku roho inaniuma balaa.

Но знаешь да что я люблю тебя!
 
Last edited by a moderator:
Ndege wa rangi moja wanapokutana manager wa wizkid na manager wa diamond wakicheza ngololo hahahahaha hatari sana huyu ndio salaam bwana.... Kituuuuu kimeshapikwa hapo #kudadeki

huyu salaam ni mjanja mjanja sana apo alikuwa anajenga urafiki siku yoyote vijana wataingia studio hiyo ni plan ya 2016
 
Kiba ni balaa jana kwenye daladala alikua anazunguka jijini alijisifu yeye ni mkali sana na kumlinganisha na diamond ni kumdhalilisha labda diamond ni level ya mwanafunzi wake abdu kiba, na akasema akiamua kuimba style za ki nigeria kama diamond atatikisa dunia nzima bali anadhamini mziki wa kitanzania.

Mdogo mdogo ,nasema nawe ni style ya naija? Na zote zimepokelewa kwa kishindo kikubwa duniani.acha umatako wewe kudanganya watu.
 
Но знаешь да что я люблю тебя!

я люблю тебя так сильно, больше, чем вы можете ожидать. как я могу выживание без тебя? пожалуйста, приблизиться ко мне .... !!!
Uwiiiii raha san apigwi mtu ban mwaka huu.
 
Ndege wa rangi moja wanapokutana manager wa wizkid na manager wa diamond wakicheza ngololo hahahahaha hatari sana huyu ndio salaam bwana.... Kituuuuu kimeshapikwa hapo #kudadeki

Wahamie marekani bhana...
Wanigeria tumeshawachoka sasa...
 
Back
Top Bottom