kedrick
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 5,286
- 5,274
Hahahaaaa aya bhana.
Ila nilikumic
Haaah roho mbaya tu kunichongea Nackia Ali kiba kafukzwa kwny nyumba tatizo nn kodi au
Hahahaaaa aya bhana.
Ila nilikumic
Acha uongo kijana tuzo za channel O hazita kuwepo tena, ilipoingia mwaka 2015 channel O ilibadilishwa na kuwa local tv station ya south africa baada miaka mingi kuwa miaka mingi kuwa international tv station, tuzo cha channel mwaka jana ndo ilikuwa mwisho kutoka
Haaah roho mbaya tu kunichongea Nackia Ali kiba kafukzwa kwny nyumba tatizo nn kodi au
Hahaha bora umemwambia mkuu mana watu wengine wanachekesha sana. Kakurupuka huko kaja kuwatia moyo wenzake hahah hiv hata sahv siioni chanel 0 kwenye list ya chanel za dstv?
Huyu si mkongwe hadi ameota Sugu
Anayechipukia tena?
Mwambieni Ajenge Nyumba kwanza sio kuishi kwa huruma za wanawake
Huyo mwanamuziki wenu ana umaarufu ambao hauko translated kwenye pesa.....ana faida gani na huo usanii>
Rockstar 4000 wezi wa kazi za Diamond...
Muingie channel o ndo mje hapa, hatuishi kwa tetesi...
Hayo maneno ya mkosaji tu tushayazoea kabisa. Na wao wageuze Uzi wao uwe ka whatsap.
Usokorokwinyokolo unawasumbua hao kuhangaika na yasiyo waweza.
Hahaha bora umemwambia mkuu mana watu wengine wanachekesha sana. Kakurupuka huko kaja kuwatia moyo wenzake hahah hiv hata sahv siioni chanel 0 kwenye list ya chanel za dstv?
Yaan ushabik mwingine tabu sana coz hta huyo wanaemshabikia akigundua huu upuuz cdhan kama atapenda lol!!!!!
Hahahaaaaa mambo wangu? Looh nimekumisi sana.
Vipi ile siku na wew ulipelekwa jela nini? nifah ameenda Maca kutubu atarudi baada ya iddy.
Hamna bhana sikukuchongea. Ujue nilitaman niwaambie wakufungulie. Unanikeraga sana ila nilikumiss sana.
Kuhusu Alikiba mpaka sasa hivi yupo kwenye iyo nyumba kama kawaida.
Usisikilize story tafuta evidence. Wanasema ila sio kweli Ali kiba bado yupo kwenye iyo nyumba. Ila kwa kua mb zenu free kusema chochote
Fanya maisha yako hata kama anaishi nyumba za wanawake ni maisha yake na hakuombi msaada