stanlthecreator
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 1,947
- 648
Alikiba amekataa ombi la kwenda kujihifadhi kwa jokate,amesema nyumbani kwa mama yake kuna mpa faraja na amani zaidi#source E-FM
Hizi tim zinawapunguzia watu akili ya kufikiri.
wewe usokuwa na team umefikiria nini cha maana hadi sasa, usipende sifa jombaa unakuwa kama lile li babu
wewe usokuwa na team umefikiria nini cha maana hadi sasa, usipende sifa jombaa unakuwa kama lile li babu
Babu lipi?
Wee
Mi napenda umbeya, ila wake huyo ni ushankupe na ushakunaku na upashkuna!
Wala haunogi
Kiba ni balaa jana kwenye daladala alikua anazunguka jijini alijisifu yeye ni mkali sana na kumlinganisha na diamond ni kumdhalilisha labda diamond ni level ya mwanafunzi wake abdu kiba, na akasema akiamua kuimba style za ki nigeria kama diamond atatikisa dunia nzima bali anadhamini mziki wa kitanzania.