Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

lile jitu zima linalohangaika na mambo ya vijana, eti akili kubwa doh! Usiwe kama yule kijana mwenzangu

hawa team domo wanafiki sana et yupo na........... wapotezeeni ili wasijaze uzi wetu #good music are coming
...
 

Attachments

  • 1435249677095.jpg
    1435249677095.jpg
    54.5 KB · Views: 59
Heheheee huyo nae kaona ameandiiiiika!!
Looooh pole yake!

Eti div 5??!! Hahaha uwiiiii ebu nicheke mie.
Naona tunaongezewa sifa tu. Tchaaa rahajeee sasa!!!
Hauna mastaz we Diva Beyonce fanya tukajiunge pale Zoom magomeni walau tupate cheti cha usekretare au sio?!

Huyo mbulula naye alijiona kaandika point eti anatukomesha haters wa domo kumbe mpuuzi tu ka wapuuzi wengine.

Hahaaaa Avemaria nishaanza mbona dia education is sex. Zoom siendi hata kwa dawa chuo za wamama wa nyumbani,na waliopata division five na beki three.
Bora hata cha Magogoni mweeeh.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom