Hizi tim zinawapunguzia watu akili ya kufikiri.
Diamond wa leo sio wa kukutana na Kiba kirahisi.
Have i voted??? Let me think
Huyo mbulula naye alijiona kaandika point eti anatukomesha haters wa domo kumbe mpuuzi tu ka wapuuzi wengine.
Hahaaaa Avemaria nishaanza mbona dia education is sex. Zoom siendi hata kwa dawa chuo za wamama wa nyumbani,na waliopata division five na beki three.
Bora hata cha Magogoni mweeeh.
Kila kitu kimeshikiliwa na menejiment, hivyo kukutana nae inabidi kiba atume maombi maalumu na atapangiwa tarehe kulingana na ratiba ya Diamond.Kwanini?
Mmhh mimi mbona kama mgeni humu? Mnatumia code gani kuelewana? Sielewi hata sentesi moja.