Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,437
- 176,383
Umegoma kunielewa nisome tena. Wadate au wasidate na kidot hiyo ni juu yao, kinachokera mtu anayesingia mwezi wa Ramadhani page yake kujigeuza kana kwamba yeye ndio PR wa Kidot.
Anyway labda wengine matatizo yetu ni kutumia akili kubwa kwenye mambo madogo saa nyingine ngumu kueleweka.
Mimi nina rafiki yangu Facebook ni public figure na ni mwislamu mwezi wa Ramadhani huwa anadeactivate account yake. Hii ndio imani na siyo usanii
Wa hawa watoto.
Kila mtu na imani yake matola, huyo aliona adeactivate huyu kaona aiactivate, tukianza kuchambuana kiimani hapa mbona shughuli, maana mwingine atadeactivate fb kumbe kule anakula kitimoto, imani yake anaijua yeye na Mungu wake.