Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Kumbe wanao kataa kwao nakwenda kukaa kwingne ni weng hivi? Mfano kiba ndo angechaguliwa MTV ungempigia wizkid?
 
Umegoma kunielewa nisome tena. Wadate au wasidate na kidot hiyo ni juu yao, kinachokera mtu anayesingia mwezi wa Ramadhani page yake kujigeuza kana kwamba yeye ndio PR wa Kidot.

Anyway labda wengine matatizo yetu ni kutumia akili kubwa kwenye mambo madogo saa nyingine ngumu kueleweka.

Mimi nina rafiki yangu Facebook ni public figure na ni mwislamu mwezi wa Ramadhani huwa anadeactivate account yake. Hii ndio imani na siyo usanii
Wa hawa watoto.

Dah..! MKUBWA HONGERA SANA. IM IMPRESSED.
 
voteee for davido n yemi alade votee for davido n yemi alade vote for wizkidayo #campain manager
 

Attachments

  • 1435079901508.jpg
    1435079901508.jpg
    47.5 KB · Views: 89
Back
Top Bottom