Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,412
- 176,330
Mwee mwe mweeee!! Sijui labda ilishatoka, si unaona mwenyewe kasema tusipoteze hela zetu?? Namshukuru kwa kuliona hilo hatutopoteza kwakweli.

Hahahaaa itoke wapi? Kimbelembele chote kilimwisha aibu ikamjaa uso ukamshuka mashavu yakaning'inia.
Chezeiyaaaaa

Huyu jamaa mwoga kama nini!
Eti panapo namna badala ya panapo Mwana.
Jaman nimekuwa mzalendo....
Vote for diamond...vote vote voteeeee
Category ni hii apa.
Best male wa kulea mimba za watu....
Hahahaaaaa we kweli great thinker
Kwa kweli siwezi kupoteza pesa yangu bure.
uzalendo kaondoka nao baba wa taifa cc tuliobaki nikila mtu na akipendacho wameniudhi sana team flani naaanzisha campain upyaaa duu nifah angekuwepo ila hata ww nisaidie tuu #vote for davido n yemi alade n wizkidayo lets gooo
Hapana chezea mwana daresalama kwa kweli!