Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ndioo hao ndo waongozaji wa matusi kujibizana kihoja hawawezi wao hukimbilia kukashifu na vimipasho vya kijinga. Kuna huyo mmoja huwa anabadilisha I'd na kujifanya kukashifu. Wanaume wengine bwana.

Matusi yote wametutukana,kashfa zote wametoa, mpaka kutuambia we hv outlook mbovu as if wanatujua, leo wanajileta hapa na unafiki wao, kwani walipokuwa wakitutukana na kutukashifu tulikuwa celebrities??
Wapite vile, hapa hatutaki unafiki bwana.
 
Nimeipenda comment yako

Na ninakubaliana nayo kwa kiasi kikubwa

Lakini naamini pia kuna vitu ambavyo timu ya Alikiba inakosea.Right?

By the way,Tunazihitaji hizi teams?

Team kiba tunaenda kutokana na nyie mnavyotuchukulia. Kwa mfano jana mimi nilisema namkubali mziki wa domo wa UKIMWONA n MAPENZI BASI. Lakini watu walikuja juu kama vifuu vya nazi wakijua kwa kiba kimenuka natafuta pa kukimbilia. Lakini mnashindwa kuelewa b4 kiba hajarudi kweny gem tulikuwa na domo so nitakuwa mnafiki nikisema kati ya nyimbo zote za domo hamna ninaoupenda ryt? Why mlireact vile? Team kiba sisi hatuna shida ila nyie ndo mpo na shida na sisi haswa baada ya domo kukosa tuzo za watu
 
kwa nn mkuu hebu niambie mi najua ndo maana ni jokes tu team kiba cc tunapendana kushinda majirani zetu #Abuu Dady
pwilo hukumuelewa peterchoka maana yale majina aliyaandika kuwakumbusha majina wanayomuita King, we ukahisi ndio amemuita king, hukufuatilia mjadala wa awali, so wewe ndio umekosea
 
Last edited by a moderator:
+Mkuu naomba niingilie kidogo hii conversation yenu.

+umeeleza vizuri kua si jambo jema kulinganisha kila anachofanya Mondi basi na kiba afanye vilevile, lakini pia umeeleza kwamba mashabiki wa mondi wamekua wanakera sana kwa kumdharau na kumponda sana kiba, na hii imekua inawakera sana mpaka mkaamua kumvotia Davido.

+Hapo sawa lakini umebase upande mmoja, umesahau kua hata nyie pia huwa mnaponda sana na kumdharau Mondi, unadhani nyinyi huwa hamuwaudhi mashabiki wa Mondi?

+sasa kama sababu ni madongo na dharau za mashabiki wa mondi kwa kiba ndo zinawafanya mumvotie Davido, its okey. sasa Mungu si Athumani siku kiba kawa nominated tuzo za kimataifa kwa hiyo una maana team mond wasusie kumvotia Kiba simply bcoz mashabiki wa Kiba huwa wanawakera sana kwa madongo yao na dharau dhidi ya Diamond?

+i hope kama utakua umeweka ushabiki pembeni utakua umenielewa hapa namaanisha nini.

Mashabiki wa domo na domo yeye mwenyew mna dharau.. kwa nini? Kwa mfano jana nilisema nakubali baadhi ya nyimbo za domo mkafoka mkizani najipendekeza umeona tabia zenu sasa zilivyo? Watu kama ninyi mnawezaje kunishawishi ni vote for D. Mimi nilichokiona kwenye team yenu mnaongozwa na bifu na mikumbo. Na wanaume matusi mnatutukaja na wanawake wanajichekesha chekesha tuu...mnazani mziki utafikia wapi??
Lazma mkubali kuwa kiba tuzo alistahili lakini sio kujivuna wa ki intaneshno
 
Tushawazoea mabaya ni ya kwetu na Kiba tu, wao watakatifu bwana, basi waendelee tu kuona hayo mabaya yake watuache nae tumemkubali hivyo hivyo ndio maana hatuishi kumsapoti na kumshauri pia

Unajuwa tukiongelea ukweli wa haya mambo team zote tunazngua, wachache sana wana chuki wengi wetu tunawapenda hawa manguli wawili upendo tu unazidiana kama mimi namkubali zaidi dangote japokuwa haimaanisha simuelewi kiba "my everything" almost everyday naimba vizuri shairi zote tena,.

Ila inakuja nyinyi wenye mahaba niuwe unakuta mtu unashindwa kusifu mpaka kukejeli upande mwingine inakuwa tatizo hapo.. Japokuwa team wema najuwa aliyewaroga amekufa sijui kama wanaweza kuja pona..

tujitahidi hata siku moja tu tunakuwa wamoja sio dhambi, kusema nani mkali kila mtu anajuwa moyoni mwake...............................................
 
pwilo hukumuelewa peterchoka maana yale majina aliyaandika kuwakumbusha majina wanayomuita King, we ukahisi ndio amemuita king, hukufuatilia mjadala wa awali, so wewe ndio umekosea

yah it was jokes not very crious forgiveme if there is problem but aint nothing rather than jokes najua peterchoka ni team kiba xo worry out cster #AbuuDady
 
Last edited by a moderator:
Mashabiki wa domo na domo yeye mwenyew mna dharau.. kwa nini? Kwa mfano jana nilisema nakubali baadhi ya nyimbo za domo mkafoka mkizani najipendekeza umeona tabia zenu sasa zilivyo? Watu kama ninyi mnawezaje kunishawishi ni vote for D. Mimi nilichokiona kwenye team yenu mnaongozwa na bifu na mikumbo. Na wanaume matusi mnatutukaja na wanawake wanajichekesha chekesha tuu...mnazani mziki utafikia wapi??
Lazma mkubali kuwa kiba tuzo alistahili lakini sio kujivuna wa ki intaneshno

Akipewa ndomo tuzo kastahili ila akipewa kiba(tena mwenye kipaji kuliko ndomo) inaonekana kapendelewa!!! Like serious??? Kisa mtu anajulikana nigeria basi kila kitu chake ni kizuri? Camoooon kubali kataa ushabiki unawaendesha mnooo, mpaka wanafikia kulinganisha utunzi wa kiba na barnaba kisa kakosa tuzo? Wimbo upi wa b unaingia hata robo kwa mwana???
Au wakati ndomo anachukua b alikuwa hatungi???
 
Tushawazoea mabaya ni ya kwetu na Kiba tu, wao watakatifu bwana, basi waendelee tu kuona hayo mabaya yake watuache nae tumemkubali hivyo hivyo ndio maana hatuishi kumsapoti na kumshauri pia

Yani mi kiba namkubali sana tangia enzi hzo no matter what kwangu ni best.
Tena nashangaa sana watu wanavyo tu attack simply coz we are appreciating Kiba, kamwe tutamu support na atakapoenda wrong tutamwambia.
#K4Really
#TogetherAsOneYesWeCan
#TeamKibaForeverOneLove
 
Basi tumsikilizie pwilo alosema baada ya mfungo

:thumbup::thumbup::thumbup::thumbup::thumbup::thumbup::thumbup::thumbup::thumbup::thumbup:🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂 pa1 sana ? AbuuDady
 
Last edited by a moderator:
Dear pwilo hakukuelewa, we pwilo nawe hebu acha kukurupuka bwana, ona unaharibu sasa
atoto, kwa jinsi tulivyojadili jana nimewaelewa watu wote humu ndani akiwemo pwilo pia hakuna siku niliyokomenti sana kama jana, suala la jana sio siri lilinigusa sana #onelove
 
Last edited by a moderator:
Mashabiki wa domo na domo yeye mwenyew mna dharau.. kwa nini? Kwa mfano jana nilisema nakubali baadhi ya nyimbo za domo mkafoka mkizani najipendekeza umeona tabia zenu sasa zilivyo? Watu kama ninyi mnawezaje kunishawishi ni vote for D. Mimi nilichokiona kwenye team yenu mnaongozwa na bifu na mikumbo. Na wanaume matusi mnatutukaja na wanawake wanajichekesha chekesha tuu...mnazani mziki utafikia wapi??
Lazma mkubali kuwa kiba tuzo alistahili lakini sio kujivuna wa ki intaneshno

Dia Leo umenifurahsha mno yani umeongea ma point sana wenye akili wamekuelewa sana.
Only truth will set us free and not hatred and hypocracy. Kutofautiana kupo tu usifikie mahali watu wanajitoa ufahamu na kushindwa Ku reason vizuri.
Mihemuko mibaya hili ni jukwaa la great thinkers lazma tujitofautishe na instagram.
Hilo la bifu na mikumbo ndo lao bora kudandia vtu kwa mbele kitu mtu akimhusu unaingilia.
Yani wanaume kuzalilisha ndo sifa. Mi mwanamke mwenzangu hata ka simkukubali siwezi Ku support huo uzalilishaji na kuwa support.
#LetUseOurCommonSenseInReasoning .
#RespectEachOtherNoMatterOurDifferences .
 
Back
Top Bottom