Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,421
- 176,356
sawa cster ila kule kwenye thread katutukana sana huyu jamaa ila ngoja nimuache kwa heshima yako dada angu #KINGKIBA
Uwiiii wapi tena?? Mie kwenye thread za kipuuzi za wapuuzi hata sijihangaishagi kwenda, kati ya majukwaa ninayoingiaga kwa nadra sn ni celebrity tena inaweza ikapita hata wk, maana ni nadra sn pakawa na cha maana cha kuongelea(no offence)
Kikubwa kilichonivutiaga ni huu uzi wa Kiba aisee maana Kiba ninavyompenda nilipoona kitu kizuri km hiki kimeanzishwa nikatia timu.