Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Unajua wakuu nyie mnakosea sana. Maneno yenu yamejaa kejeli sana mtanisamehe lakini.
Mi muda wa kuacha kufanya jambo ili umuumize fulani tunaenda na fact na kama huna cha kuchangia unaweza mkanyamaza. Maana hatujawafata kwenye uzi wenu hapa tupo kumshauri kiba na nazani mnaelewa sasa mnavyoleta maneno yenu ya kashfa ni wazi mnataka ligi za kijinga tuu. Acheni izo wakuu nyie ni wanaume maneno hayo waachieni akina dada. Mbona Freeland yeye anaandika anaeleweka na ndo kazi ya mwanaume iyo au nyie sio wanaume?

achana nao hao wawili kejeli tu ndo zimewajaa hakuna wanalojua.
 
Last edited by a moderator:
+Yeah ni kweli mkuu pande zote mbili zinahusika kupigana madongo na kutukanana.

+unajua mimi mwanzo nilikua najua hizo team ziko kwa ajili ya utani wa jadi tu kwa sababu sisi wabongo tumezoea kutaniana, lakini hii inshu imekua serious sana hata kwa jambo linalohitaji kuungana kwa hizi teams ili kuusogeza mbele mziki wa bongo.

.

Tatizo la haya mambo ni ku set Precedence

Na ikishakuwa Precedence kunyanyuka kutoka hapo itakuwa ni changamoto kubwa sana

Mtu anaweza kudhani kirahisi kwa macho ya karibu asiione hii Risk....

Lakini ni significant risk worth serious calculation
 
Huyo Freeland alotuita malaya, kisa tunapingana nao, huyo freeland anayetukanaga kama mbwia unga?
Nakumbuka nilimjibu kama mimi malaya nimewavuruga kuanzia yeye, babake na babu yake....
Vitu vingine sio rahisi kusahau.
Leo anamquote malaya sasa sijui anataka huduma?

Mie ndio maana nimeamua niangalie tu, hawa watakatifu mama hawakoseagi makosa ni ya Kiba wetu tu na fans wake
 
Last edited by a moderator:
kibaka, kibakuli, kibajaji

Hapa wanajitoa ufahamu tu, mabaya yetu tuuuu, aiii mie wasinchoshe kwakweli, waondoke wakamjadili huyo mtakatifu wao labda warudi wakiwa hawana mihemko ya ushabiki.
 
Huyo Freeland alotuita malaya, kisa tunapingana nao, huyo freeland anayetukanaga kama mbwia unga?
Nakumbuka nilimjibu kama mimi malaya nimewavuruga kuanzia yeye, babake na babu yake....
Vitu vingine sio rahisi kusahau.
Leo anamquote malaya sasa sijui anataka huduma?

Nashangaaa sana hafu hyo Malaya huwa anaikazania kama defence mechanism yake.
Wakishindwa hoja wanaume ukimbilia kutukana. Kwangu watu kama hao ni weak and shame mana hamna tusi jipya.
 
Last edited by a moderator:
Kwani mnavyomuitaga kiba yale majina yenu huwa mnashindwa kuita Kiba?? Au ya wenzenu tu ndio mnayaona?

Kwao ni Sawa ila MTU wao akiitwa chai jaba inakua nogwa. Ukiwa shabiki wa kitu lazma kujifunza Ku ignore
 
Nashangaaa sana hafu hyo Malaya huwa anaikazania kama defence mechanism yake.
Wakishindwa hoja wanaume ukimbilia kutukana. Kwangu watu kama hao ni weak and shame mana hamna tusi jipya.

Alafu kumbe ni mwanaume??? Aiii basi ndoho taabu(cjui nimepatia?)
Utakuwa unawasingizia mama tangu lini watakatifu wakatukana??
 
Attachments

  • 1434984225450.jpg
    1434984225450.jpg
    10.6 KB · Views: 56
Alafu kumbe ni mwanaume??? Aiii basi ndoho taabu(cjui nimepatia?)
Utakuwa unawasingizia mama tangu lini watakatifu wakatukana??

Ndioo hao ndo waongozaji wa matusi kujibizana kihoja hawawezi wao hukimbilia kukashifu na vimipasho vya kijinga. Kuna huyo mmoja huwa anabadilisha I'd na kujifanya kukashifu. Wanaume wengine bwana.
 
Kwao ni Sawa ila MTU wao akiitwa chai jaba inakua nogwa. Ukiwa shabiki wa kitu lazma kujifunza Ku ignore

Tushawazoea mabaya ni ya kwetu na Kiba tu, wao watakatifu bwana, basi waendelee tu kuona hayo mabaya yake watuache nae tumemkubali hivyo hivyo ndio maana hatuishi kumsapoti na kumshauri pia
 
Back
Top Bottom