Ignore list ndo mpango mzima, watakuwa wanajisoma wenyewe na viherehere vyao ka mwalimu wa zamu!Ndio mamy sisi hatujakawia hili bweha lilikuwa linanikera sana
aii twende sasa sankoro sankoro sankoro ka,a ronaldo
oooh nana oooh nana
kama ronaldooooNeno sankoro linamaanisha nini
Na neno Nana lina maana gani?
kama ronaldoooo
Ronaldooooo ndio nini /nani?
aii twende sasa sankoro sankoro sankoro ka,a ronaldo
oooh nana oooh nana
Morning lov
tunaomba umuondoe zingifuri harakaa anaharibu usalama wengne hatuwez kujizuiya
Huyu katumwa na nazani ni yule yule.. alafu katuandika kule mtaa wa pili wahi ukasome kabla haujafutwa maana nisham report..
bora kwa mreport.anatafuta kick yule
Alafu ashaona ni fashen hii ni mara ya pili anatuandika kwani hawezi kufungua uzi bila kutu mention?..ana boaa
Anategemea watu tutaenda pale kupambana.
Afu kumbe adi wew ume tajwa polee
hana jipya. asante cute b. amenitaja kichwa maji yule
Yule ni team domo na wameona saivi tume potezea upuuzi wao tunafanya yetu sasa wanajitahidi kututoboa na vidole machoni...
Kama mtu anataka kuwa maarufu jf atafute njia nyingine lakini sio kutafuta kiki kwa kiba fans.
Ina maana bila sisi celebrity forum haiendi?
Wamenikera sana
ndo hapo sasa kila mtu ana uzi wake. tunampotezea tu boya yule
Hahahahaaaaa uzi ushafutwa chezeaaa.....
safi sana. ajifanye mbishi