Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

cute b and atoto ndo kama vile mmefanya yaani mpaka mtu aliquote ndo unaliona jibwa koko lile !

Mwingine huyu hapa, nilikuwa nafikiria ni nani yule mwingineeee. Si akajileta bwana, nikamtumbukiza fastaaa maana naye ni mke wa balozi mwingine
 
Attachments

  • 1433764293122.jpg
    1433764293122.jpg
    55.8 KB · Views: 55
Last edited by a moderator:
Mwingine huyu hapa, nilikuwa nafikiria ni nani yule mwingineeee. Si akajileta bwana, nikamtumbukiza fastaaa maana naye ni mke wa balozi mwingine

HahahahahahahahaHhaahhHahahahahahahahahahahHahahahahahahahHah atoto mbavu zangu miee. Lol umenichekesha adi mkojo nusu ubip chupi
 
Last edited by a moderator:
Mwingine huyu hapa, nilikuwa nafikiria ni nani yule mwingineeee. Si akajileta bwana, nikamtumbukiza fastaaa maana naye ni mke wa balozi mwingine

safi sana mkuuu angalau tupate amani mana ilikuwa tunamjadili domo kuliko KING KIBA
 
Back
Top Bottom