Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,292
Alafu ashaona ni fashen hii ni mara ya pili anatuandika kwani hawezi kufungua uzi bila kutu mention?..ana boaa
Anategemea watu tutaenda pale kupambana.
Afu kumbe adi wew ume tajwa polee
Dawa yake kumpotezea tu ameshaona sifa. Hawa mashabiki wadomo kwa kujizalilisha hawatumii akili. Sasa mtu kumshabikia kiba imekua kosa. Waswahili bwana wana matatizo.