Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

nifah hivi huyu mama ni anaumwa au kibuti kimemchanganya. Sijauelewa vizuri ubuyu wa anko saleh

Hahahahaaa, sio ajabu mwenzangu ndio maana mama aliumwa kapelekwa hadi India ugonjwa hauonekani!
Uwiiiii nimechekaje wanavyobembeleza?
 
Last edited by a moderator:
Tutaaandamanaaa urudiiiii!
Chezeya serengeti boy wewe!
Mpaka unachanganyikiwa, kulia huwezi, kucheka huwezi.....
Unabaki kupigiwa debe na dadako tu....kweli mama rahisi kapatikana

Shoga sijui tuungane tumpigie mama kampeni ya kurudisha dogodogo?
Maana walivyokua wanabembeleza hadi huruma! Tu act basi kama wanawake jamani, tuwasapoti mama zetu na kilio chao..lol
 
Hahahahaaa, sio ajabu mwenzangu ndio maana mama aliumwa kapelekwa hadi India ugonjwa hauonekani!
Uwiiiii nimechekaje wanavyobembeleza?

Kaaaaazi kweli kweli aachane na viserengeti boy vitamzalilisha bure na kumtia pressure na utu uzima wote huo ukute hata ndo yeye alifanya huo mchongo wa kumu record.
Yani hadi huruma aisee atafte size yake hadi ameumwa mweeeh.
 
Wewe unaongelea kurekodiwa sauti tu? Mama nasikia kuna hadi saxe tape shoga.
Ni just a matter of time tu watu wakiamua wataitoa.
Ila kwahiyo sitolisapoti, bora tucheke kwa hizi sauti tu.
Siko tayari kuangalia video ya mama mtu mzima yule, siwezi kabisa!
 
Shoga sijui tuungane tumpigie mama kampeni ya kurudisha dogodogo?
Maana walivyokua wanabembeleza hadi huruma! Tu act basi kama wanawake jamani, tuwasapoti mama zetu na kilio chao..lol

Naunga mkono hoja aisee tupige kampeni ya nguvu #bringbackserengetiboy . Haiwezekani amkimbie mama na hali yake ilivo ya afya kwa sasa kumliza mtu mzima sio vizuri.
 
Wewe unaongelea kurekodiwa sauti tu? Mama nasikia kuna hadi saxe tape shoga.
Ni just a matter of time tu watu wakiamua wataitoa.
Ila kwahiyo sitolisapoti, bora tucheke kwa hizi sauti tu.
Siko tayari kuangalia video ya mama mtu mzima yule, siwezi kabisa!

Ya rabi toooooba Chineeeeke ohhh in naijas voice. Makubwa madogo yana nafuu aisee sex tape ya mtu mzima tena jamani wasije tu waka I release aisee mana itakua janga aisee. Nadhani huyo Serengeti alikula deal aka record si bure.
Na ka ipo watu walivo wapuuzi na akili mbovu wasije wakaitoa.Kazi ipo bora hili la sauti sex tape ni majanga wana familia wawe makini nawe ili watu wasipate information za mama na Ku zi likisha.
 
Hahaha asante sana princessa kwa hizo screenshots japo huku kwetu madongo kuinuka network tunaipata kwa tabu. nifah
 
Last edited by a moderator:
Wewe unaongelea kurekodiwa sauti tu? Mama nasikia kuna hadi saxe tape shoga.Ni just a matter of time tu watu wakiamua wataitoa.Ila kwahiyo sitolisapoti, bora tucheke kwa hizi sauti tu.Siko tayari kuangalia video ya mama mtu mzima yule, siwezi kabisa!
Na wailikishe tu bhana aaah kwani nini!!!Wafuasi wao wakati wanamuedit mama Wema wakamuweka uchi waliona fahari mama wa watu kuchekwa na kutukanwa eeeh??!! Heheh aibu yao meeen! Hizi team ni raha tu akiwa anadhalilishwa mpinzani wako ila siku jumba bovu likikuangukia maweee utatamani iwe ndoto!Halafu mie naona ka le ngonokaring iziko to le ukooz karakta maana mmmmh mtoto anahenya na nyuchi tu bila kubagua.....mama nae kutwa kucha na jang'ombe za vidogo dogo! Ayiiii nashindwa nashindwa niseme nini nashindwa nashindwa!
 
Tutaaandamanaaa urudiiiii!Chezeya serengeti boy wewe!Mpaka unachanganyikiwa, kulia huwezi, kucheka huwezi.....Unabaki kupigiwa debe na dadako tu....kweli mama rahisi kapatikana
Mahaba niporomoshe nikafie mlima kitonga mie uwiiiiSijali mimi sijali mwenzenu japo voouuz limeanza kuota mvi.....lakini ntafanyaje sasa utamu wa halua ndo ushaniingia mpaka kumooooyo!! Lol
 
jamani eeee nilalilala kumbe ubuyu mtamu wa zanzibar
helooooo
yani@avemaria@nifah@Ms Lincoln@Diva Beyonce hamjui tu jana nimekosaje utamu huuu dahhh
mtu mzima kashindwa kuvumilia eee
 
Jamani inabidi tuanze kampeni ya kumsihi shemeji arudi kwa mama, maana mama anateseka sanaaa.
#Bringbackourbaby
 
jamani eeee nilalilala kumbe ubuyu mtamu wa zanzibar
helooooo
yani@avemaria@nifah@Ms Lincoln@Diva Beyonce hamjui tu jana nimekosaje utamu huuu dahhh
mtu mzima kashindwa kuvumilia eee

mwenzangu!!!
mwenyewe jana nilizikosa..... nifah siku ingine uzidownload kabisa! lol
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom