Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,378
- 176,229
Nyie team ndomo sijui domo...
Whoever did this na anaeendelea kufanya upuuzi huu may yu stop it pliiz??? Dis z not fair kama mnajiamin cmtengeneze mabango yenu na code zenu????? Why r yu using da image ya #KingKiba for yo own benefits?????? Aiiiseeee tengezeni mabango yenye picha zenu na code zenu co kupotosha watu kijingaaa
Hey teamkiba the strongest team naomba msidanganyike kirahisiii iviii hawa wanatumia jina la king kupiga promo zao wenyewe hizo sio code zetu code zetu ni hiziiii 👇👇👇👇👇👇
AB1
BB1
FB1
AH1
DA4
GA3
AL4
👆👆👆👆👆👆
Naomba tusiwape nafasi ya kututumia kirahisi iviiii
Ikiwezekana repost n share ujumbe huu ili watu wasidanagnyike kiiviii.....Hope tutashirikiana kwa hiliii #teamkiba the strongest team ever
#Kwa_Pamoja_Tunaelekea_Kushinda
Cc nifah, Diva Beyonce, atoto Ms.Lincoln unanitaka, Matola, Avemaria [MENTION=194098][/MENTION] na all kiba fans
Hii kitu niliiona na nikaona inakemewa sn, duuuh this is too much sasa, ila pia siwashangai sana hao watu, akili zao ukipewa hata sekunde huwezi ishi nayo!!
Last edited by a moderator: