Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

naona instagram...cabosnoopy mzee wa prakatumba akililia colabo na alikiba...
 
Ungetuletea japo ka screen shot bwana, maneno matupu hayanogi!
Hata hivyo asante kwa habari maana si haba.

Kama hivi
 
Attachments

  • 1433338955219.jpg
    1433338955219.jpg
    39 KB · Views: 137
  • 1433338972946.jpg
    1433338972946.jpg
    49.7 KB · Views: 118
ngoma na wizkidayo lini hiyo...naisi kama bonge la supprise hivi linakuja...and i cant wait

Ndio hivyo mambo ya Kiba hua hapendi kuanika mambo yake.
Ipo siku watu watashinda ndani week na JF watakua wanaingia kama guests kutokana na mabalaa atakayoyafanya King.
 
Khaakhaaakhaaa hatar hatari
 
Na itokeeee, tunaisubiri kwa hamu sana.

Tetesi zinasema ni video 2...moja kolabo matata....daaahvitu anavyovifanya chini ya kapeti ni vikubwa sana mpk watu wake wa karibu wanashindwa kuvumilia wanajikuta wameongea kutokana na matusi ya insta...
 
Hahahahaaa.....can't wait kwakweli.
 
Tetesi zinasema ni video 2...moja kolabo matata....daaahvitu anavyovifanya chini ya kapeti ni vikubwa sana mpk watu wake wa karibu wanashindwa kuvumilia wanajikuta wameongea kutokana na matusi ya insta...

Aisee itakuwa ni hatar sana, maana jirani zetu kule kelele nyingi zimezidi
 
Back
Top Bottom