Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ni lini umeacha kukosoa... Badili Tecno yako na usikilize katika kifaa ambacho sio kibovu hlafu uje hapa useme anasikika au hasikiki

Nitakosoa nitakavyo hunipangii wala kunifundisha cha kufanya JF. Akili yako inawaza Tecno ndo upeo wako wa kufikiri ulipoishia eeh.Wimbo ni mbovu na hausikiki.
Ukitaka taga yai ka la mbuni.
 
Hahahahahaaa, Diva sometimes ukiamua kunichekesha bwana?
Tatizo kuna watu hawataki kuukubali ukweli wa kutofautiana kifikra na kimaoni pia.
Wanataka kila kitu tuwe sawa which is totally wrong. ..achana nao dear.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaaa, Diva sometimes ukiamua kunichekesha bwana?
Tatizo kuna watu hawataki kuukubali ukweli wa kutofautiana kifikra na kimaoni pia.
Wanataka kila kitu yuwe sawa which is totally wrong. ..achana nao dear.

Ndo tatizo la wengi JF hawataki kutofautiana kimtazamo na kuheshimu mawazo ya wengine badala yake mtu anaanza kukushambulia na kukuita maneno yote mabaya.
 
Last edited by a moderator:
Ndo tatizo la wengi JF hawataki kutofautiana kimtazamo na kuheshimu mawazo ya wengine badala yake mtu anaanza kukushambulia na kukuita maneno yote mabaya.

Tuachane nao tusonge mbele sie.Sisi cheketua ina miezi mi3 inaenda mi4 sasa lakini still uko hot.
Wenzetu mtu wao katoa ngoma kibao na zimeshachosha hadi anakimbilia kutoka nyingine ambako nako kachemsha.
Ule wimbo Mr. Flavour angepewa muda zaidi ya ule watu wasingeamini kama ni wa domo.
 
Hivi jamani upigaji kura KTMA bado unaendelea? Niambieni faster nataka nifanye mambo hapa.
 
Manusikia wimbo kwa tecno zenu fake hzo na mi pc ya reception afu mwataka sauti isikike.

Euufyuuuu..
 
Tuachane nao tusonge mbele sie.Sisi cheketua ina miezi mi3 inaenda mi4 sasa lakini still uko hot.
Wenzetu mtu wao katoa ngoma kibao na zimeshachosha hadi anakimbilia kutoka nyingine ambako nako kachemsha.
Ule wimbo Mr. Flavour angepewa muda zaidi ya ule watu wasingeamini kama ni wa domo.

Eeeh 😱 sawa naona hauhit kwenye masikio yako tu
 
Tuachane nao tusonge mbele sie.Sisi cheketua ina miezi mi3 inaenda mi4 sasa lakini still uko hot.
Wenzetu mtu wao katoa ngoma kibao na zimeshachosha hadi anakimbilia kutoka nyingine ambako nako kachemsha.
Ule wimbo Mr. Flavour angepewa muda zaidi ya ule watu wasingeamini kama ni wa domo.

Hahaaaa wimbo unachuja haraka ka bablishi aisee. Atawamaliza wasanii wote wakubwa mwisho wa siku ndo kuchokwa mazima.
 
Mie kila nikipiga naambiwa nishapiga kura sasa nashindwa kuelewa

Mimi nina line mbili that's why.Kama leo nimepiga kwa airtel...
Fanya hivyo na wewe, nimepiga kwenye vipengele vyote 7 tena kwa mia 5 tu na salio limebaki.
 
Hayaaaa nishamaliza yangu kama hivi.....
 
Attachments

  • 1433072282333.jpg
    1433072282333.jpg
    47.5 KB · Views: 75
Mimi nina line mbili that's why.Kama leo nimepiga kwa airtel...
Fanya hivyo na wewe, nimepiga kwenye vipengele vyote 7 tena kwa mia 5 tu na salio limebaki.

Nimeweka vocha line zote 3 ila nimeweza kupiga tigo tu, voda na airtel naambiwa nishapiga kura si ndio nikapigwa na butwaaa!
 
Labda wanatrack hadi imei ya simu.Hivyo ukirudia na simu ileile wanajua au wanaangalia na email.
Jaribu kubadili email au simu.
 
Inawezekana aisee, ila mbona sasa sijapiga na same phone? Maana yenye voda na airtel ndio nimejaribu nikaambiwa nishapiga wakati bado?
 
Basi kama ndio hivyo utakua umesajilia jina moja lines zote labda.
 
Yeah line zote jina ni moja, kwahiyo ndio siruhusiwi tena kupiga kura? Maana tokea jana ndio kwanza naanza kupiga kura najibiwa nishapiga kura nikachoka mwili na roho
 
Back
Top Bottom