Mauzo ya line yatapanda ghafla. Habari ya sasa ni Chibu na Lowassa.
KwendAaaaaaaa
Mauzo ya line yatapanda ghafla. Habari ya sasa ni Chibu na Lowassa.
Hivi kwa whatsapp inapigika kweli
Jamani kuna mtu kaanzisha uzi kule anamsifia mtu mwingine, twendeni tukaone.
Hata mimi nilihisi jambo kama hilo.Ngoja nitapiga kwa kutumia simu ya dogo.
Na mtu ili apige mara zaidi ya moja lazima atumie simu tofauti na pia line tofauti na pia unatakiwa kuchange location unapo taka kutuma Sms...!
Kwa whatsapp line zimefungwa.
Mimi mzima sanaMtani Ruttashobolwa hujambo? Hilo jina nalo refu mno mtani
Join Date : 27th March 2015
Posts : 22
Rep Power : 314
Likes Received
2
Likes Given
0
Mtahangaika sana
Kwendraaaaaa uko.
Unajidai mlokole sana na unajua sana dhambi?? Wew huzinigi wew? Hiyo sio dhambi? Ebe chapa malapa uondoke na miguu yako iliyo yote ya kushoto.
Unapenda dini kaanzish kanisa lako na unapenda uzalendo kaanzishe nchi yako
Sijui alikurupukia wapi mwanaharamu yule looh!! Angetoa tu ushauri vzr asingeeleweka mpaka ajitie ujuaji??
Hapa cha msingi ni kutumia simu tofauti i think, na line zilizosajiliw tofauti km wanatrace
Hahaha joining date isikusumbue naweza kuwa mwenyeji humu kuliko ww ni jambo la kujiheshimu tu
Ukwel utabak kuwa ukwel na jengine sina dhambi ya udhinifu ktk maisha yang nlichomwambia huyo aunty ni utani tu sina haja ya kujisumbua na mijiradhi na sijawah kuzini na hata kutembea na mtu mwengne najichunga kwa ajili ya mke wang ndo nlivofundishwa kuishi kwamba nichukie kwa lile ambalo nkifanyiwa mm nachukia

Yani hawa mandorobo hawajiamini mpaka waombe kura kupitia kiba??? Si.walijifanya wao intaneshino au. Domo usione aibu bana wewe kama unataka sapoti mwombe tu kiba atakupa gwala:sio kumuibia code zake, huu ni wizi hop management wataliona hili.
Hongera, kura yako kwa Wimbo bora wa Mwaka - MWANA -ALI KIBA imepokelewa na AUDITAX INTERNATIONAL.
Hongera, kura yako kwa Mwimbaji bora wa kiume - Bongo Fleva - ALI KIBA imepokelewa na AUDITAX INTERNATIONAL
Hongera, kura yako kwa Mtunzi bora wa mwaka - Bongo Fleva - ALI KIBA imepokelewa na AUDITAX INTERNATIONAL
Mimi mzima sana
Teh Teh Mtani najua hata wewe unge andika lako lazima liwe refu.. halafu hapo nimefupisha....