Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Eeish, hebu acha hizo bwana, unataka kuniuzia kesi?
Ile siku niliona lakini kwakua nilijua sio kweli ndio maana nilikaa kimya.
Wewe uko busy utamuona saa ngapi?

Hahahaaaa! I was just kidding darling
 
Tulia sehem usikilize tena utauelewa tu utajikuta mwenyewe unachezea Sankolo Sankoloo. We ni mmoja kati ya watu 10 ambao hujaelewa according to my statistics

Aaaahh wapi mwimbo kama una mashiko ukisikia hata kwa mbali tu, utataka uutafute but huu nimejaribu kusikiliza mara kadhaa bila kubebwa na hisia za ushabiki but hapana hapana bora hata nataka kulewa dah, mondi utabebwa na video tu, angetulia kwanza badala ya kukimbilia kutoa hit kila siku ambazo hazidumu
 
Hahahaaaa! Siku hizi ndomo fans wananifurahisha! Utasikia mie ni kiba fan sana ila....... na ndomo humo juuu, hahahaaaa!! Keep the good music alive
 
Aaaahh wapi mwimbo kama una mashiko ukisikia hata kwa mbali tu, utataka uutafute but huu nimejaribu kusikiliza mara kadhaa bila kubebwa na hisia za ushabiki but hapana hapana bora hata nataka kulewa dah, mondi utabebwa na video tu, angetulia kwanza badala ya kukimbilia kutoa hit kila siku ambazo hazidumu

Kitu mwana, nilivyousikiliza once tuuuu, nikaudownload kabisaaa hizo fujo sasa majirani mbona walikomaa!! Acha kabisaaa king level nyingine wewe.
 
Aaaahh wapi mwimbo kama una mashiko ukisikia hata kwa mbali tu, utataka uutafute but huu nimejaribu kusikiliza mara kadhaa bila kubebwa na hisia za ushabiki but hapana hapana bora hata nataka kulewa dah, mondi utabebwa na video tu, angetulia kwanza badala ya kukimbilia kutoa hit kila siku ambazo hazidumu

Kizuri kizuri tu adi sahvi its 4hours tangie video iwe uploaded on youtube viewers elfu4 xo evey 1hours elfu1 hiv unafikiri ni msanii wa kawaida huyo" diamond hz de baddest in Africa
 
Mi shabiki wa kiba wa ukweli ila naomba kuwa muwazi kwa hili: Ally Kiba anazingua angekuwa anajitmbua angekuwa mbali sanaaaaaa...zaidi ya domo Diamond kipesa na kila kitu kwa kifupi angekuwa kama PSquare maana Mfalme R kelly alishamfungulia njia ambayo ilikuwa kuiendeleza ktk One8 Wasanii wa Africa kufanya kazi na R kelly, lakini Ally kiba kabweteka na sifa za mashabiki wa nyumba badala ya kuvuka maboda ya Africa anakalia kusubili Zari lingine kama litajirudia, Menejiment yako haifikirii wala kumshauri vizuri, Alie karibu nae amfikishie ujumbe huu amwambie asipoamka na kujipanga upya ye na menejiment yake wataishia hapa hapa nyumbani wakati domo asie na lolote mbele ya kiba akipiga mkwanja mnene nakuzidi kuvuka maboda kila kukicha.

Umenena mkuu kiba mvivu sijui au ni management yake inamkwamisha cjui tatizo ni nini" all in all we wnt tanzania music Bongoflavor kusikika zaid africa inabidi tujaze mavideo ya hatari kwenye chart zao inabidi wasanii waamke wote. Am a fan of goodmusic sichagui lkn kiba anarudisha nyuma fans wake sometimes inabidi awe na stunts speed kama za mwenzake
 
Kizuri kizuri tu adi sahvi its 4hours tangie video iwe uploaded on youtube viewers elfu4 xo evey 1hours elfu1 hiv unafikiri ni msanii wa kawaida huyo" diamond hz de baddest in Africa

Hizo views ni sababu ya mengi. Kwanza wanataka kujua mondi katoa nini, pili wanataka jua serengeti boy wa zarina ni nani huyoo??? Wengine wanataka ona x wa sepetunga ameweza kutoka kweli bila kumtaja wema? Wengine wanataka mwona flavor ambaye ni mwanamZiki nguli kuliko domo. Hizo ni chache tu, unaweza kuwa na views nyingi but mwimbo umedoooda. Upo
 
Jamani ni masikio yangu au???? Mbona mwimbo wa mondi siufeel masikioni??? Ila video kajitahidi. Inabidi atoe kolabo na davido aisee mana anapotea tu

😀😀 always haters wata hate ndo maana channel za MTV base, sound city, afropop wanamshobokea embu number one remix ft davido unaweza kuniambia davido aliimba nn, kackilize Owo n Koko n the sound by davido, bed by wiz kid, nyimbo nyingi za Nigeria uwa hazieleki ila zina hit coz ya video so n we muambie msanii unaempenda atooe ela zke zote kwny account yke akafanye video hatari hata akiimba a, b.c. d akaje kwny video ataona matokeo
 
Kizuri kizuri tu adi sahvi its 4hours tangie video iwe uploaded on youtube viewers elfu4 xo evey 1hours elfu1 hiv unafikiri ni msanii wa kawaida huyo" diamond hz de baddest in Africa

duuh babu ume wakalia kooni kiroho mbaya waache wapumue wata elewa tu kama RONALDO!
 
Last edited by a moderator:
Wasanii walioshiriki kwny hii video diamond n Vanessa tz, Sean tizzle, iyanya, praiz, bracket, mr flavour Nigeria, Donald n a.k.a south africa #sanko INA bidi mkubali jamaa yupo international now checki hata vituo km MTV , afro pop n sound city wakivyoipokea video am out
 
Ooh Mara huo mduara utackika tz mduara huo Nigeria ushafika
 
Attachments

  • 1432935552415.jpg
    1432935552415.jpg
    48.4 KB · Views: 108
vigezo vyote ulivyotoa ni kweli kabisa ila kwa upande wa nyimbo kali hapana diamond anafunika mkuu

Yes, umesema vema....kiba bora ni yulee wa miaka ile ta dushelele na mapenz yanarun dunia..siku hz mmmh apn
 
Back
Top Bottom