Hapana siuzi njiwa
Bali? Samaki?
Hapana siuzi njiwa
Hapana siuzi njiwa
Pambana mama...zimebaki siku mbili
vigezo vyote ulivyotoa ni kweli kabisa ila kwa upande wa nyimbo kali hapana diamond anafunika mkuuni ukweli usiopingika kuwa kiba yupo juu na ataendelea kuwa juu daima kwa kuwa ana vigezo vyote vinavyomtaka msanii hawe juu navyo ni hivi,nidhamu ya mziki.anajituma sana,hana maringo,hajisikii na kudharau watu,ana nyimbo kali sana,hana masikendo sikendo kama fulani, habadilishi wanawake ovyo kama fulani,hajichetui kama fulani, kwa vigezo hivi k 4 real ataendelea kuwa juu
vigezo vyote ulivyotoa ni kweli kabisa ila kwa upande wa nyimbo kali hapana diamond anafunika mkuu
ni ukweli usiopingika kuwa kiba yupo juu na ataendelea kuwa juu daima kwa kuwa ana vigezo vyote vinavyomtaka msanii hawe juu navyo ni hivi,NIDHAMU YA MZIKI.ANAJITUMA SANA,HANA MARINGO,HAJISIKII NA KUDHARAU WATU,ANA NYIMBO KALI SANA,HANA MASIKENDO SIKENDO KAMA FULANI, HABADILISHI WANAWAKE OVYO KAMA FULANI,HAJICHETUI KAMA FULANI, kwa vigezo hivi K 4 REAL ataendelea kuwa juu
teh masikendo...
taarabu kaimba wimbo moja tu, zingine zote kwa upande wangu ni noooma, lakini kila mtu ni vile anavyofeel kwa upande wangu wimbo wa kiba niliotokea kuupenda na nitaendelea kuupenda milele ni dushelele pekeyake hizo zingine hazijanigusa hata kidogomkuu hivi kweli masongi kama mwana dsm na cheketua unaweza kulinganisha na mataarabu ?
una uwezo mdogo sana wa kuwaza na zile hadithi zako za ukimuangalia sana simba usoni anaona aibu!
mkuu simba ana aibu sana
taarabu kaimba wimbo moja tu, zingine zote kwa upande wangu ni noooma, lakini kila mtu ni vile anavyofeel kwa upande wangu wimbo wa kiba niliotokea kuupenda na nitaendelea kuupenda milele ni dushelele pekeyake hizo zingine hazijanigusa hata kidogo
Kama chui?!
naona kama mtoa mada ana mpnz sana na kiba haya ndio madhara ya team fulan.
Usemayo ni kweli.....ila Diamond anajua aseeeeni ukweli usiopingika kuwa kiba yupo juu na ataendelea kuwa juu daima kwa kuwa ana vigezo vyote vinavyomtaka msanii hawe juu navyo ni hivi,NIDHAMU YA MZIKI.ANAJITUMA SANA,HANA MARINGO,HAJISIKII NA KUDHARAU WATU,ANA NYIMBO KALI SANA,HANA MASIKENDO SIKENDO KAMA FULANI, HABADILISHI WANAWAKE OVYO KAMA FULANI,HAJICHETUI KAMA FULANI, kwa vigezo hivi K 4 REAL ataendelea kuwa juu