Yes, umesema vema....kiba bora ni yulee wa miaka ile ta dushelele na mapenz yanarun dunia..siku hz mmmh apn
Ooh Mara huo mduara utackika tz mduara huo Nigeria ushafika
Ooh Mara huo mduara utackika tz mduara huo Nigeria ushafika
Vyanzo vya uhakika vinasema kahonga ili walau aonekane kwenye chati huko, domo bila davido hamna kitu, hahhaha ye keshakariri kuwa ili utoke kimuziki inabid uende nigeria hahaha mbona atawamaliza wote lakin atapiga pua kama ilivyokuwa kwa nyimbo zake na iyanya na bracket, waje, etc
Cheketua wewe acha kuwayawaya na kugwayagwaya
Wasanii walioshiriki kwny hii video diamond n Vanessa tz, Sean tizzle, iyanya, praiz, bracket, mr flavour Nigeria, Donald n a.k.a south africa #sanko INA bidi mkubali jamaa yupo international now checki hata vituo km MTV , afro pop n sound city wakivyoipokea video am out
Mbona majina ya kawaida tu hayo, hahaha! Kiba alishakuwa kwenye kundi kama hilo kwenye one africa, nothing new mrembo.
Hivi na ile yakwetu ya cheketua imeshika namba ngpi huko kweny hizo chat za watu wa mataifa? ?
maana hapa bongo imekimbiza.....
Haaah muambie n kiba ahonge umeckia coco yaan we ujui hata mziki coco halafu nyimbo n bracket sio ya diamond alishirikishwa hata ya waje alipewa collabo sio yke sasa ndo ujue hadi bracket n waje wakaamua kumshirikisha walifikiria nn
Hili jukwaa special kwa kiba??? Au? Mana naona domo kavamia humu na kukimbia uzi wake unaomhusu. Hizi ni dalili za kutojiamini kwamba kila kitu anachofanya inabidi atoe taarifa kwa rival wake. Mbona mwana dar es salama katulia tu.
Hahaaaaaahaaaaa ameshirikishwa, hajashirikishwa nyimbo zimepiga puaaaaa. Sasa kama kashirikishwa mbona promo zilikuwa nyingi kutoka kwa domo, vipi na ule aloimba na iyanya pia alishirikishwa???? Haaaaaaaahaaaaa
Kumbe ushasema alishawahi vp sasa ivi coco kiba yupo wapi
Mkuu ubora wa dushelele huezi fananisha na cheketua..labda uwe unajipa moyo tuu
That is facts...andamana
Hahaaaaaahaaaaa ameshirikishwa, hajashirikishwa nyimbo zimepiga puaaaaa. Sasa kama kashirikishwa mbona promo zilikuwa nyingi kutoka kwa domo, vipi na ule aloimba na iyanya pia alishirikishwa???? Haaaaaaaahaaaaa
Hahhhahaha unajifanya hujui yuko wapi??? Wakati kutwa kucha uko jukwaani kwake ukimchungulia???! Bila kiba hata wewe mkono hauendi kinywani, hapa unanishukuru kweli mana kwa kujiquote tu, unapata buku saba kutoka kwa domo haaaaaahaaaaaaa
Tatizo lako unangalia sn TBC hata km kwenu hamna dstv embu jaribu hata kufatilia chati za nje ya tz ujue diamond yupo wapi we umeckia coco
Yaan we akili yko imekaa kutoa rushwa always yaan but whyyyyy :what: kila kitu Diamond kahonga so diamond kahonga media za nje ya tz 😀 dah cheza sankoro sankoro sankoro aah utaicheza sankoro