kedrick
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 5,286
- 5,274
Hahhahaha poor you!! We jipe moyo niko live mrembo wangu from, trace to soundcity, channel o, vox, african beats,. Halafu acha ushamba wa kukariri dstv na wewe hahhahaha ushamba mzigo, tumia satellite dish. Anyway ndo umetoka tandale juzi, bado unajifunza
Sasa km upo live haumuanagi diamond uku kiba ushawahi kumuona chanel 0 we unangaliaga kwny dish gani maana sie kwny dstv yetu haionyeshi Chanel 0 cku izi