Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Sasahivi anastress njiwa hawana wateja, alafu kuna walioondoka hawajarudi, basi anabanwa kila mahali

Na atajibeba mwaka huu. Amwambie chibu awe ana mlipa hata mshahara ili aongeze mtaji aachane na biashara ya njiwa.
 
Hahahahahaa jamani akirudi itabidi atugawie japo kanjiwa kamoja maana sijawahi kumla kabisa yule ndege.
 
Uzi wa le king hauchosh jamani ndo maana wanajileta leta humu
 
Hahahahahaa jamani akirudi itabidi atugawie japo kanjiwa kamoja maana sijawahi kumla kabisa yule ndege.

Hahahahaaaaa yaan kila siku ni matangazo jamani njiwa kwa bei nafuu.... weka picha kwan anaweka sasa
 
Na atajibeba mwaka huu. Amwambie chibu awe ana mlipa hata mshahara ili aongeze mtaji aachane na biashara ya njiwa.

Hahahaaaahaaaaaaa mbavu zangu mieee..
Alafu alikuwa anajipraudi nimetoka chuo kumbe kapeleka njiwa mnadaniii
 
Hahahahaaaaa yaan kila siku ni matangazo jamani njiwa kwa bei nafuu.... weka picha kwan anaweka sasa

Ukute hata hao njiwa ni wa babu yake ye anaoshea tu(utadhani cha maana sasa) ye kula yake ni "shikamoo" tu
 
Na atajibeba mwaka huu. Amwambie chibu awe ana mlipa hata mshahara ili aongeze mtaji aachane na biashara ya njiwa.

Hahahaaaa!! Biashara imedoda, kumbe ndio maana alikuwa anajichetua ati aweza kumlisha sijui nani na familia yeke, sijui nani alimwambia wanakula njiwa!!
 
Hahaaaa imemdodea kweli kweli hyo familia angeilisha njiwa wala isingetosha mana njiwa ni wadogo.
 
Na kamtaji kangeishia mlo mmoja tu!!! Aombe msaada ajiupgrade hata afikie hadhi ya kufuga kuku bee!
 
Attachments

  • 1432838812363.jpg
    1432838812363.jpg
    40.6 KB · Views: 58
Last edited by a moderator:
Kesho stay tune at MTV base channel namba 320 on dstv
 
Attachments

  • 1432796119722.jpg
    1432796119722.jpg
    40 KB · Views: 70
Back
Top Bottom