Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Kiukweli Le Mutuz mtu wa ajabu sana.Hata hivyo tumuache tu maana alishasema hakuna wa kumbadilisha.
Hivi ulishaona caption zake za usiku kabla hajalala...
Eti kiss ni MUAHAAAAA! Uwiiiiii jamani nachekaga aje sasa?

Hahaaaa kuvuka stage aisee huyu nilishampuuzia tu. Na kujitoa ufahamu kume mnyima fursa kubwa abakie huko insta kujibizana na watoto wa o level ndo anaweza.
 
Hahaaaa kuvuka stage aisee huyu nilishampuuzia tu. Na kujitoa ufahamu kume mnyima fursa kubwa abakie huko insta kujibizana na watoto wa o level ndo anaweza.

Eti kabla hajalala hua anapiga selfie na akiamka anapiga pia.
Anakuambia ukitaka kujua wewe ni mzuri au mbaya ukiamka tu piga selfie!
Mhhhhh, ni shida kwa umri ule.
 
Umeona wapi nimetoa kauli kuwa simpendi kiba.?

Matendo yako na maneno yako na jitihada zako za kuponda kila kitu anachofanya Kiba!
Haya kiba si lolote si chochote, ondoka kwendraaa....
Bilashi hata kwenye maisha yako binafsi una roho ya korosho.
Ndio maana biashara ya samaki ilikufa!
 
Eti kabla hajalala hua anapiga selfie na akiamka anapiga pia.
Anakuambia ukitaka kujua wewe ni mzuri au mbaya ukiamka tu piga selfie!
Mhhhhh, ni shida kwa umri ule.

Hahaaaaaa na uko insta anawakamata kweli aisee mi kufatilia upuuzi huwa siwezi na ndo mana insta kulishanishindaga aisee. Hahaaa sasa mtu mzima hivo ana comment hivo si vituko hivo.
 
Hata mie japo npo kwa diamond kani inspire kutia mimba mademu n kukacha 😀😀 safi sn no scandal n mfano bora kwa jamii n mwendo wa kutia mimba tu

Umekaa kimajungu majungu....
Ila hater kama nyie ndio mnatutia moyo
 
Attachments

  • 1432810514168.jpg
    1432810514168.jpg
    48.9 KB · Views: 62
Umekaa kimajungu majungu....
Ila hater kama nyie ndio mnatutia moyo

Sio amekaa ila wamekaa, Kiba anawauma kweli yaani hadi nawonea huruma, wao ni nani mpaka waseme wakati wa kiba umepita? Na umepitaje kwa mfano? Na km umepita kwann anawaumiza?? Ndomo ni nani hata awe juu pekee?? Ndio maana hatuendelei roho za kwanini tuu wakipata wengine mwaenda kuroga, nyambaaaaafu!
 
Sijui walitaka Kiba abakie yupo yupo tu ndo roho zao ziridhike.

Kinachowauma wao ni kuona Kiba anapata mafanikio ambayo waliapia kuwa hatopata pale alipopumzika.
Hiyo ni roho mbaya.
Mwenzako akifanikiwa usipite uchi unaroga bali mtie moyo
 
Matendo yako na maneno yako na jitihada zako za kuponda kila kitu anachofanya Kiba!
Haya kiba si lolote si chochote, ondoka kwendraaa....
Bilashi hata kwenye maisha yako binafsi una roho ya korosho.
Ndio maana biashara ya samaki ilikufa!

Hahahahaha shoga hiyo biashara ya samaki ilikuwaje?
Huyu nae alikua na biashara kumbe? Basi alijitahidi sio sawa na wanaume suruali wanaoshinda JF na sisi watoto wa kike.
 
Diamonds Are Forever
 
Attachments

  • 1432811072861.jpg
    1432811072861.jpg
    31.7 KB · Views: 60
Hahahahaha shoga hiyo biashara ya samaki ilikuwaje?
Huyu nae alikua na biashara kumbe? Basi alijitahidi sio sawa na wanaume suruali wanaoshinda JF na sisi watoto wa kike.

Hahahaaaa! Hiyo kauli yako hapo mwisho nimeipenda haswaaaaa, yaani humu wanaume wachache sanaaaaa kutwaa wanashinda kuponda maendeleo ya mwanaume mwenzao alafu wakichapiwa wanakuja kulalama eti wanawake wasaliti!!! Ptuuuuuu
 
Achana na hii michele michele inayoshinda huku na sisi.Wanaume wa shoka wako zao busy hata kuwaona huku ni kwa nadra na wana heshima zao bwana.
Mwanaume wa hivyo namheshimu sana, ila ninayeshinda nae heshima itoke wapi?
 
Wakuu nimeshampigia kingKiba kura katika category zote 7, kwa njia ya sms.

Bado najitahidi nitumie na simu nyingine nipige kura zaidi, nawasihi fans wote wa Kiba tuhakikishe tunapiga kura, tupende kwa vitendo jamani.

Usijali Shardcole, tuko pamoja na tutafanya hivyo bila wasiwasi.
Sisi kazi tu mapovu tuwaachie majirani zetu.
Vipi umeona hiyo link hapo juu aliyoweka cute b ya kumpigia King Kura kwenye tuzo za inspiration sijui...
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha shoga hiyo biashara ya samaki ilikuwaje?
Huyu nae alikua na biashara kumbe? Basi alijitahidi sio sawa na wanaume suruali wanaoshinda JF na sisi watoto wa kike.

Du....😱
 
Back
Top Bottom