lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
Usemayo ni kweli.....ila Diamond anajua aseeee
hapana mkuu huyu best yetu anaimba sana taarabu
Usemayo ni kweli.....ila Diamond anajua aseeee
mkuu mpende japo kidogo mbona hivyo jamani kura umyime hata kumsifia pia jamanibaada ya kukosa colabo kama ya davido akaamua kuimba taarabu,noma sana
mkuu mpende japo kidogo mbona hivyo jamani kura umyime hata kumsifia pia jamani
Mtani habari za masiku?Kumbe upo...
una uwezo mdogo sana wa kuwaza na zile hadithi zako za ukimuangalia sana simba usoni anaona aibu!
haringi? kaangalie acc yake insta uone kafolow nani?
Hizo sababu mbili hapo juu hana hata moja, Video ya CHEKECHA mpaka leo hii ni mienzi 3 hajatoa anawazungusha mashabiki wake. ALIKIBA haangalii soko la music linataka nini yeye bado yupo ki-local sana wakati wadogo zake akina SHETTA, VanessaMdee, Dimond, Johmakini wana-make HEADLINES kwenye vituo vikubwa vya Music Africa. Na kuhusu uandishi wa nyimbo nzuri bado sana kumfikia Dimond ila labda useme anajua kuimba(tune).ni ukweli usiopingika kuwa kiba yupo juu na ataendelea kuwa juu daima kwa kuwa ana vigezo vyote vinavyomtaka msanii hawe juu navyo ni hivi,ANAJITUMA SANA ,ANA NYIMBO KALI SANA
Mkuu umenikumbusha hadithi yake ya simba Teh Teh huyu jamaa ni zaidi ya futuhi
Nipo mtani wangu, habari njema sn, nimekumiss jamani kumbe upo?
Mtani mimi nipo......
Jamani Kiba anajua. Hajawahi toa wimbo mbaya tangu sinderela hadi cheketua ni utamu tu.
Mkuu umenikumbusha hadithi yake ya simba Teh Teh huyu jamaa ni zaidi ya futuhi
sana tu, kua shabiki wa kiba raha sana maana hakuangushi ni mwendo wa raha utamu.
Hizo sababu mbili hapo juu hana hata moja, Video ya CHEKECHA mpaka leo hii ni mienzi 3 hajatoa anawazungusha mashabiki wake. ALIKIBA haangalii soko la music linataka nini yeye bado yupo ki-local sana wakati wadogo zake akina SHETTA, VanessaMdee, Dimond, Johmakini wana-make HEADLINES kwenye vituo vikubwa vya Music Africa. Na kuhusu uandishi wa nyimbo nzuri bado sana kumfikia Dimond ila labda useme anajua kuimba(tune).
b
ha ha ha kama braza k wa futuhi!!
mkuu umetumwa au?
k 4 real